Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbrazili wa Yanga apewa onyo kali

Kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime amempa tahadhari kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili Emerson De Oliveira Neves Roque kuwa atarajie kukutana na wakati mgumu kwenye Ligi Kuu kama ilivyotokea kwa Mbrazili mwenzake, Genilson Santos ‘Jaja’ aliyegoma kuendelea kuichezea timu hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mabeki Yanga wapewa onyo kali

Cairo, Misri. Mashabiki wa Zamalek wamechekelea kitendo cha Wizara ya mambo ya ndani Misri kuzuia mashabiki katika mchezo wa Al Ahly Jumapili wiki hii, lakini wakawatahadharisha mabeki wa Yanga kuepuka kutumia nguvu katika kuwakaba washambuliaji wa wapinzani wao.

 

11 years ago

GPL

Cannavaro apewa onyo Zanzibar

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Na Sweetbert Lukonge
BAADA kuonyesha uwezo wa juu katika mechi mbili za kimataifa alizocheza dhidi ya Al Ahly ya Misri, beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, ametakiwa kuhakikisha analinda kiwango chake hicho ili kisiporomoke kama ilivyokuwa hivi karibuni. 
Kocha Mkuu wa KMKM inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar, Ally Bushiri, aliliambia Championi Ijumaa...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA APEWA ONYO NA FAMILIA

Brighton Masalu STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka hivi karibuni amewekwa chini na familia yake na kupewa onyo kuhusu wanaume pamoja na maadili. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1RTajxW

 

11 years ago

GPL

Mbrazili mpya atua Yanga SC

Mshambuliaji mpya wa Yanga,Genilson Santana Santos ‘Jaja’ Na Mwandishi Wetu
SASA Yanga imekamilika, kwa kuwa yule mshambuliaji raia wa Brazil, anatua nchini kati ya kesho au keshokutwa.Genilson Santana Santos ‘Jaja’, anatarajia kutua nchini akiongozana na wakala wake ili kumalizana na wakongwe hao wa soka nchini. Jaja ambaye anasifika kwa mashuti, pasi zinazozaa mabao, amefunga zaidi ya mabao 10 akiwa...

 

11 years ago

GPL

MBRAZILI WA YANGA ATUA NA MKOSI DAR

Coutinho akiwa katika pozi. Na Richard Bukos
KIUNGO mshambuliaji wa Kibrazili, Andrey Coutinho, aliyetua jana (Ijumaa), kutoka nchini humo kuja kukipiga kwenye timu ya Yanga, jana alitua na mkosi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, baada ya gari lililoenda kumchukua kufungwa nyororo na wasimamizi wa maegesho ya magari uwanjani hapo. Katika sakata hilo mchezaji huyo baada ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yatoa onyo kali Kalenga

JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limepiga marufuku wananchi kuhudhuria mikutano ya kampeni wakiwa na marungu na mapanga, hasa wakati huu wa kampeni za kuwania ubunge katika Jimbo la Kalenga....

 

9 years ago

Mtanzania

Mwakifwamba atoa onyo kali kwa wasanii

mwakiNA GEORGE KAYALA
RAIS wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba, amewaonya wasanii wa filamu na wale wanaounga mkono Shirikisho hilo kutogombana na amewataka waungane kwa ajili ya kufanya kazi.

Akizungumza na MTANZANIA, Mwakifwamba alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya vuta nikuvute baina ya makundi hayo ya wasanii ugomvi uliochangia kuirudisha nyuma tasnia hiyo

“Tunashukuru ugomvi umeisha, sioni sababu ya wasanii kurudia hiyo tabia ya kutupiana vijembe kwani...

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Urussi

Rais wa Marekani ameonya Urussi kusitisha mpango wake wa kutaka kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine lasivyo iwekewe vikwazo

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yatoa onyo kali kwa Ukraine

Urusi imeionya Ukraine kuancha maandalizi yoyote ya kijesh katika majimbo yanayotaka kujitenga

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani