Mbrazili mpya atua Yanga SC
![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CojOOnWqmPbhBRu961w2QXL19VRlEtvqNGPmmaS5ay6NY*uCjFjEOLC5H3Anx180Q*5IRacsdPg7AMGAD5EAjRa/1dar.jpg)
Mshambuliaji mpya wa Yanga,Genilson Santana Santos ‘Jaja’ Na Mwandishi Wetu SASA Yanga imekamilika, kwa kuwa yule mshambuliaji raia wa Brazil, anatua nchini kati ya kesho au keshokutwa.Genilson Santana Santos ‘Jaja’, anatarajia kutua nchini akiongozana na wakala wake ili kumalizana na wakongwe hao wa soka nchini. Jaja ambaye anasifika kwa mashuti, pasi zinazozaa mabao, amefunga zaidi ya mabao 10 akiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVlQ-5NTlQa4RGmpBNmQVaWX*oGiLpZ*rhLraM55*-4O9mPeMCFRBoNqUheiBhrS-4uWPu7lBlNbT*xH9SpvVEle/mbrazil.gif?width=650)
MBRAZILI WA YANGA ATUA NA MKOSI DAR
10 years ago
Vijimambo31 Dec
KOSHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR NA KISASI NA YANGA
![](http://api.ning.com/files/f3Cpy2Teci1WjwDd9a--FKFpDorjT6NSWldK*7fl67saZdWrW68eCw4FSeY9J*0jvg8JkEdJM9eMMucDxp35-aRauAIkucOe/1331248128GoranKopunovic.jpg?width=650)
Na Omary Mdose Wa GPL.KOCHA mpya wa Simba, Goran Kopunovic anaratajia kutua nchini leo saa 1:30 asubuhi akitokea nchini Hungary tayari kuingia mkataba na klabu hiyo na moja kwa moja kwenda Zanzibar.Kopunovic anatua nchini akiwa na ‘hasira’ au ‘kisasi’ kwa watani wa jadi wa Simba, Yanga kwa kuwa waliwahi ‘kumtema’.Miaka mitatu iliyopita, Yanga ilifanya mazungumzo na Kopunovic raia wa Serbia ili atue nchini kuinoa. Lakini wakati akiajiandaa kuja nchini,...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Mbrazili wa Yanga apewa onyo kali
11 years ago
Bongo521 Jul
Yanga yasajili Mbrazili wa pili, Geilson Santos Santana ‘Jaja’
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-35ea58qFejI*QhuCRY4Z8HRXpSVdgLXKuN3aLNLOA2aGk-fddAcdqc3y2VOZ3Qo-kZJVps6tJzWQHRVpvfmKY3/okwi.jpg?width=640)
OKWI ATUA YANGA SC
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Mbrazil mwingine atua Yanga
MSHAMBULIAJI wa kimataifa kutoka nchini Brazil, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ amewasili jijini Dar es Salaam jana mchana akitokea Sao Paulo, Brazil, tayari kwa kuanza kazi ya kuitumikia klabu ya Yanga....
10 years ago
Mwananchi06 Aug
USAJILI : Mzimbabwe atua Yanga
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Straika wa Chelsea atua Yanga
![Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Seleman Abdallah Mbaruku, akiwa katika mazoezi ya timu ya Yanga jana kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola, Dar es Salaam. Picha na John Dande](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Mbaruku.jpg)
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Seleman Abdallah Mbaruku, akiwa katika mazoezi ya timu ya Yanga jana kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola, Dar es Salaam. Picha na John Dande
Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam
MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya Chelsea ya England, Seleman Abdallah Mbaruku, ametua jana ndani ya kikosi cha Yanga kufanya majaribio ili kusajiliwa na timu hiyo.
Mbaruku amewahi kuichezea timu ya watoto ya Chelsea alipokuwa na umri wa miaka saba na nane, kabla ya kuhamia...
11 years ago
Mwananchi01 Aug
UKOCHA: Nsajigwa atua Yanga