Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cannavaro apewa onyo Zanzibar

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Na Sweetbert Lukonge
BAADA kuonyesha uwezo wa juu katika mechi mbili za kimataifa alizocheza dhidi ya Al Ahly ya Misri, beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, ametakiwa kuhakikisha analinda kiwango chake hicho ili kisiporomoke kama ilivyokuwa hivi karibuni. 
Kocha Mkuu wa KMKM inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar, Ally Bushiri, aliliambia Championi Ijumaa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbrazili wa Yanga apewa onyo kali

Kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime amempa tahadhari kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili Emerson De Oliveira Neves Roque kuwa atarajie kukutana na wakati mgumu kwenye Ligi Kuu kama ilivyotokea kwa Mbrazili mwenzake, Genilson Santos ‘Jaja’ aliyegoma kuendelea kuichezea timu hiyo.

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA APEWA ONYO NA FAMILIA

Brighton Masalu STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka hivi karibuni amewekwa chini na familia yake na kupewa onyo kuhusu wanaume pamoja na maadili. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1RTajxW

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe ajisalimisha kwenye Baraza la Maadili na kupewa onyo, Nchambi apewa nafasi kufika kikao

Na. Ally Mataula – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma
Wakati Vikao vya Baraza la Maadili vikiendelea siku yake ya pili kusikiliza mashauri ya ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya 1995, Baraza hilo likiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Balozi Jaji (Mst.) Hamisi Msumi limetoa onyo kwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo kwa kukaidi wito wa kufika mbele ya Baraza hilo kujibu tuhuma zinazomkabili.
Kwa mujibu wa maelezo kutoka kwa Mwanasheria wa Sekretarieti...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, BALOZI SEIF APEWA TAARIFA YENYE KUONYESHA WAKAZI ZAIDI YA 2000 WAMEATHIRIWA NA MVUA ZILIZONYESHA KISIWANI UNGUJA

Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya kukabiliana na Maafa Zanzibar ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Mzee Salhina Abdi Mkufau wa Shehia ya Jang’ombe ambye nyumba yake imebomoka baada ya kuzibuka kwa shimo kubwa pembezoni mwa kuta ya nyumba hiyo. Nyuma ya Balozi Seif ni Mwakilishi wa Jimbo la Jang’ombe Mheshimiwa Salum Suleiman Nyanga.Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dr. Salem Mohammed Jidawi akisisitiza umuhimu wa Jamii kuimarisha huduma za Afya ili...

 

10 years ago

Mwananchi

Ngoma, Cannavaro ‘waua’

Matukio mawili makubwa uwanjani ya wachezaji wenye majina makubwa na nyota yalitosha kuilaza Yanga na mashabiki wake mapema katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Kagame dhidi ya Gor Mahia ya Kenya ilipofungwa mabao 2-1.

 

10 years ago

Mtanzania

Cannavaro anogewa Tanzania

Mchezaji bora wa dunia wa zamani, Muitaliano Fabio Cannavaro

Mchezaji bora wa dunia wa zamani, Muitaliano Fabio Cannavaro

Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam

MCHEZAJI bora wa dunia wa zamani, Muitaliano Fabio Cannavaro, amenogewa na mandhari ya Tanzania pamoja na ukarimu wa watu wa hapa walioonyeshwa, akiwa na kikosi cha magwiji wa zamani wa timu ya Real Madrid.

Cannavaro ameongozana na magwiji hao wenzake akiwemo winga, Luis Figo, Christian Karembeu na Ruben de la Red, waliocheza na kikosi maalumu cha wachezaji wa zamani wa Tanzania ‘TSN Tanzania...

 

10 years ago

GPL

Cannavaro aikosa... Azam FC

Beki na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Na Wilbert Molandi
BEKI na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anatarajiwa kuikosa mechi yenye upinzani mkubwa ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC. Mechi hiyo ni muhimu kwa beki huyo kucheza kutokana na aina ya washambuliaji wa Azam FC. Mtanange huo utapigwa Desemba 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Cannavaro ataikosa...

 

9 years ago

GPL

9 years ago

Mtanzania

Cannavaro: Tutaifunga Malawi

Haroub-NadirNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

NAHODHA wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amesema kuwa wamepania kupata ushindi dhidi ya Malawi ‘The Flames’ kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam keshokutwa ili kuondoa mdudu wa sare tangu Charles Mkwasa apewe kibarua cha kuinoa timu hiyo.

Stars itamenyana na Flames katika mchezo wa awali wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, Mkwasa ataingia kwenye mechi hiyo akiwa hajaambulia ushindi katika mechi mbili za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani