Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngoma, Cannavaro ‘waua’

Matukio mawili makubwa uwanjani ya wachezaji wenye majina makubwa na nyota yalitosha kuilaza Yanga na mashabiki wake mapema katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Kagame dhidi ya Gor Mahia ya Kenya ilipofungwa mabao 2-1.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kila mwamba ngoma akivutia kwake, mwisho ngoma hupasuka

Vijana hawakati tamaa. Baada ya kuandika maneno yote yale wiki jana, huyu kijana ameona sasa njia ya kufuatilia ni kuandika kila wakati.

 

9 years ago

GPL

10 years ago

Mtanzania

Cannavaro anogewa Tanzania

Mchezaji bora wa dunia wa zamani, Muitaliano Fabio Cannavaro

Mchezaji bora wa dunia wa zamani, Muitaliano Fabio Cannavaro

Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam

MCHEZAJI bora wa dunia wa zamani, Muitaliano Fabio Cannavaro, amenogewa na mandhari ya Tanzania pamoja na ukarimu wa watu wa hapa walioonyeshwa, akiwa na kikosi cha magwiji wa zamani wa timu ya Real Madrid.

Cannavaro ameongozana na magwiji hao wenzake akiwemo winga, Luis Figo, Christian Karembeu na Ruben de la Red, waliocheza na kikosi maalumu cha wachezaji wa zamani wa Tanzania ‘TSN Tanzania...

 

9 years ago

Mtanzania

Cannavaro: Tutaifunga Malawi

Haroub-NadirNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

NAHODHA wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amesema kuwa wamepania kupata ushindi dhidi ya Malawi ‘The Flames’ kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam keshokutwa ili kuondoa mdudu wa sare tangu Charles Mkwasa apewe kibarua cha kuinoa timu hiyo.

Stars itamenyana na Flames katika mchezo wa awali wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, Mkwasa ataingia kwenye mechi hiyo akiwa hajaambulia ushindi katika mechi mbili za...

 

10 years ago

Mwananchi

Cannavaro arejea Yanga

Beki wa kati ambaye ni nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anarudi uwanjani kuivaa Polisi Morogoro na kuahidi kuwapa raha mashabiki wao, lakini Mnyarwanda Mbuyu Twite bado hajaweza kurudi uwanjani.

 

10 years ago

GPL

Cannavaro aikosa... Azam FC

Beki na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Na Wilbert Molandi
BEKI na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anatarajiwa kuikosa mechi yenye upinzani mkubwa ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC. Mechi hiyo ni muhimu kwa beki huyo kucheza kutokana na aina ya washambuliaji wa Azam FC. Mtanange huo utapigwa Desemba 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Cannavaro ataikosa...

 

11 years ago

GPL

Penalti za Cannavaro, mbwembwe 100%

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Lucy Mgina na Sweetbert Lukonge
NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ana mbwembwe, baada ya kufanikiwa kufunga penalti kwa ufundi katika mechi dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Taifa, juzi, ametoa tambo zake kuwa huwa anapiga penalti 15 kabla ya kuingia uwanjani. Cannavaro ambaye hiyo ni penalti yake ya pili kupiga kiufundi na kufunga baada ya kufanya...

 

9 years ago

Mwananchi

Pluijm: Yondani, Cannavaro igeni

Kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amewataka mabeki Ligi Kuu wakiwamo wa klabu yake, Kelvin Yondani na Nadir Haroub ‘Cannavaro’ waige aina ya ukabaji wa beki wa Azam, Pascal Wawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani