Cannavaro anogewa Tanzania
Mchezaji bora wa dunia wa zamani, Muitaliano Fabio Cannavaro
Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam
MCHEZAJI bora wa dunia wa zamani, Muitaliano Fabio Cannavaro, amenogewa na mandhari ya Tanzania pamoja na ukarimu wa watu wa hapa walioonyeshwa, akiwa na kikosi cha magwiji wa zamani wa timu ya Real Madrid.
Cannavaro ameongozana na magwiji hao wenzake akiwemo winga, Luis Figo, Christian Karembeu na Ruben de la Red, waliocheza na kikosi maalumu cha wachezaji wa zamani wa Tanzania ‘TSN Tanzania...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP7gKNajcIDY-8wpTTTkwZqvVy-YAFrgogoUScqkEOEpxVQ31noXj1l0yjwVZgUCLCcekfqDzEWPhpEcyr4NsyjF/Zamarad.jpg)
ZAMARADI ANOGEWA NA KUZAA
9 years ago
Mtanzania26 Oct
Lahm anogewa na Guardiola
MUNICH, Ujerumani
NAHODHA wa Bayern Munich, Philipp Lahm, amemtaka kocha wa klabu hiyo, Mhispania Pep Guardiola, aongeze mkataba wa kuendelea kukinoa kikosi hicho.
Lahm alikuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kilichoibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Cologne katika mchezo wa Bundersliga uliopigwa kwenye dimba la Allianz Arena mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mkataba wa Guardiola na Bayern utamalizika mwakani, huku kocha huyo akiwa kimya juu ya mustakabali wake baada ya kumalizika kwa mkataba...
10 years ago
Habarileo03 Jan
Mahanga anogewa na ubunge
MBUNGE wa Jimbo la Segerea, Dk Makongoro Mahanga (CCM) amesema atagombea tena ubunge kwenye jimbo hilo mwaka huu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El9rOWZ*OroLE7jpGrI8s86oNAnQmAhwkeO3mwRuivOc13b3Uq-xFJ9sFcHoN9mi3MiVZ*V6GJgZ43aFQzEZt2l*/a.jpg?width=650)
DIMPOZ ANOGEWA NA PENZI LA WEMA
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Phiri anogewa mfumo wa 3-5-2 Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akQ9Pc3wnMxPU0xsXKH2kJ0C-FJ*WRu270H*sJDn1KSQcdpKCxUYAfm0xBvQgHXEyEsAA1JqnSbZv5PU5wU5hL0s/coutinho.gif?width=650)
Coutinho anogewa na sembe, ubwabwa Yanga SC
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
Ommy Dimpoz Anogewa na Penzi la Wema!
Mahaba: Mwanamuziki Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ameamua kukiri wazi kuwa ananogewa na penzi la Wema Sepetu ‘Madame’.
Akizungumza na wa GPL Februari 11, mwaka huu maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Dimpoz alisema anawashangaa sana watu kuendelea kumsakama juu ya uhusiano wake na Madame wakati yeye anafahamu shemeji yake kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni Zarina Hassan ‘Zari’ kwa sasa.
“Nashindwa kuelewa kuna watu wamekuwa wakinitumia ujumbe eti Diamond atanimaindi kwa ukaribu wangu na...
10 years ago
Mwananchi19 Jul
Ngoma, Cannavaro ‘waua’
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3ydo-rPuK9pB5Rm2diMUOulqt6Jq9ZUZXYeWga-q2eyGeAcNDGCa3kLT4jFzK0Mp-lXpfgth1f*EDaQ2bDFVphkAp6P-AJGP/Cannavaro2.jpg?width=750)