Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cannavaro aikosa... Azam FC

Beki na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Na Wilbert Molandi
BEKI na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anatarajiwa kuikosa mechi yenye upinzani mkubwa ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC. Mechi hiyo ni muhimu kwa beki huyo kucheza kutokana na aina ya washambuliaji wa Azam FC. Mtanange huo utapigwa Desemba 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Cannavaro ataikosa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

IVO, CANNAVARO WATEMWA STARS, MAKIPA WOTE WA AZAM WACHUKULIWA

Kipa wa Simba, Ivo Mapunda. KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga amewaacha kipa Ivo Mapunda wa Simba SC na beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wa Yanga SC katika kikosi chake cha wachezaji wengine 23 watakaoingia kambini kesho (Aprili 20 mwaka huu) kuungana na 16 waliotajwa awali kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Aprili 26 mwaka huu. Beki wa kati wa Yanga, Nadir Haroub...

 

10 years ago

Mwananchi

Samatta aikosa CSKA

Mshambuliaji wa TP Mazembe na Taifa Stars, Mbwana Samatta ameshindwa jaribio la kucheza soka Ulaya kwenye klabu ya CSKA Moscow ya Russia baada ya ofa yao kushindikikana kabla ya dirisha la usajili kufungwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiongera aikosa Yanga

>Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema  kuumia kwa Raphael Kiongera na Haruna Chanongo ni pigo kubwa kwa timu yake wakijiandaa na michezo miwili kabla ya kuivaa Yanga Oktoba 12.

 

10 years ago

GPL

Sindano zamlaza Kiongera, aikosa Yanga

Mshambuliaji wa Simba Mkenya, Paul Modo Kiongera. Na Mwandishi Wetu
NI hofu na mashaka ya pambano la watani imeanza, sasa Simba itamkosa mshambuliaji wake Mkenya, Paul Modo Kiongera katika mechi dhidi ya Yanga.Mechi hiyo ya nne kwa kila timu ya Ligi Kuu Bara itapigwa Oktoba 12 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na tayari imethibitika Kiongera, hatacheza.… ...

 

11 years ago

GPL

MAYA AZIDIWA, AIKOSA KANUMBA DAY

Na Erick Evarist MWIGIZAJI ambaye ambaye alikuwa akifanya kazi kwa karibu sana na marehemu Steven Kanumba, Mayasa Mrisho ‘Maya’ alijikuta akishindwa kuhudhuria siku maalum ya marehemu baada ya kuzidiwa na ugonjwa wa malaria. Mwigizaji wa Bongo Muvi, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Siku ya Kanumba Day iliadhimishwa Jumatatu iliyopita ambapo ndugu pamoja na baadhi ya wasanii walijumuika pamoja kufanya maombi...

 

9 years ago

GPL

10 years ago

Mwananchi

Ngoma, Cannavaro ‘waua’

Matukio mawili makubwa uwanjani ya wachezaji wenye majina makubwa na nyota yalitosha kuilaza Yanga na mashabiki wake mapema katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Kagame dhidi ya Gor Mahia ya Kenya ilipofungwa mabao 2-1.

 

10 years ago

Mtanzania

Cannavaro anogewa Tanzania

Mchezaji bora wa dunia wa zamani, Muitaliano Fabio Cannavaro

Mchezaji bora wa dunia wa zamani, Muitaliano Fabio Cannavaro

Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam

MCHEZAJI bora wa dunia wa zamani, Muitaliano Fabio Cannavaro, amenogewa na mandhari ya Tanzania pamoja na ukarimu wa watu wa hapa walioonyeshwa, akiwa na kikosi cha magwiji wa zamani wa timu ya Real Madrid.

Cannavaro ameongozana na magwiji hao wenzake akiwemo winga, Luis Figo, Christian Karembeu na Ruben de la Red, waliocheza na kikosi maalumu cha wachezaji wa zamani wa Tanzania ‘TSN Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Cannavaro arejea Yanga

Beki wa kati ambaye ni nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anarudi uwanjani kuivaa Polisi Morogoro na kuahidi kuwapa raha mashabiki wao, lakini Mnyarwanda Mbuyu Twite bado hajaweza kurudi uwanjani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani