Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAYA AZIDIWA, AIKOSA KANUMBA DAY

Na Erick Evarist MWIGIZAJI ambaye ambaye alikuwa akifanya kazi kwa karibu sana na marehemu Steven Kanumba, Mayasa Mrisho ‘Maya’ alijikuta akishindwa kuhudhuria siku maalum ya marehemu baada ya kuzidiwa na ugonjwa wa malaria. Mwigizaji wa Bongo Muvi, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Siku ya Kanumba Day iliadhimishwa Jumatatu iliyopita ambapo ndugu pamoja na baadhi ya wasanii walijumuika pamoja kufanya maombi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAYA AIKACHA KANUMBA THE GREAT

Stori: Emelder Tarimo NDO basi tena! Staa wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa kwa sasa amejikita katika kupiga kazi za nje ya Kampuni ya Kanumba The Great Film hivyo asiulizwe kuhusu kampuni hiyo aliyofanya nayo kazi kwa muda mrefu. Staa wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Akichonga na mwanahabari wetu, Maya alitiririka kuwa ameamua kuiweka kando kampuni hiyo na kujikita...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kanumba Day: Wastara Ana Haya Kuhusu Kitabu cha Kanumba

“Hiki kitabu chenye historia yako chatosha kunifanya nione umuhimu mkubwa uliokuwa nao katika tasnia na safari ndefu uliyopitia mpka ulimwengu kkutambua wew ni nani yoyte mwenye moyo wa dhati na asiyechoka na kukata siku zote atasimama nakufuata njia ulizopita duniani ni njia tu lakini jinsi utakavyoipita njia hii ndivyo utakavyowapa watu kumbukumbu ya kukkumbuka kilasiku tunakukumbuka sana lakini kifo ni safari ya lazima aina rushwa wala aikwepeki tuko nyuma yako mungu akusamehe makosa yako...

 

11 years ago

GPL

KANUMBA DAY DAR LIVE

KANUMBA DAY  itafanyika mwezi ujao  tarehe 7/4/2014 katika ukumbi wa Dar Live mbagala tiketi za tamasha la uzinduzi wa Kanumba Foundation  zitauzwa siku mbili kabla ya tamasha. Tiketi zitapatikana kwa Shilingi 2,000 kwa watoto wadogo Shilingi 10,000 kawaida na viti maalum vitakuwa Shilingi 50,000.  Tiketi zitapatikana Global PublisherS, Tabata sheli duka la Smart Fashion,Vanne Fashion tabata shule,Ofisi za Kanumba the...

 

11 years ago

GPL

LULU KIGUGUMIZI KANUMBA DAY

Na Mayasa Mariwata
STAA wa sinema za Kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema anapata wakati mgumu sana kufikiria kitu gani spesho atakachokifanya siku ya kumkumbuka aliyekuwa mwandani wake, marehemu Steven Kanumba Aprili 7, mwaka huu katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar. Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ Akipiga stori na paparazi wetu, Lulu alisema siku hiyo ni siku...

 

11 years ago

GPL

KANUMBA DAY: HISTORIA KUANDIKWA J’TATU

Stori: Mikito Nusunusu
TUKIO kubwa na la kihistoria linatarajiwa kuandikwa Jumatatu ijayo katika maadhimisho ya Siku ya Kanumba katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar. Historia hiyo itaandikwa na mastaa wa Bongo Movies, Bongo Fleva, Taarab na Dansi huku mgeni rasmi Meya wa Ilala, Jerry Slaa akishuhudia na yeye kuwa sehemu ya historia hiyo inayofanyika kila mwaka.
Frederick Mwakalebela ambaye ni mmoja wa waratibu...

 

11 years ago

GPL

JACQUELINE WOLPER AANGUSHA MAOMBI KANUMBA DAY

Na Erick Evarist
MKALI katika anga la sinema Bongo, Jacqueline Wolper ameangusha sala nzito kumkumbuka marehemu Steven Kanumba. Jacqueline Wolper akisali nyumbani kwake na katika kaburi la Kanumba. Wolper alifanya maombi hayo juzi Jumatatu ambapo sala hizo alizifanya nyumbani kwake, kisha akaelekea katika kaburi la Kanumba, Kinondoni jijini Dar kumalizia maombi yake. “Ni mhimili mkubwa katika tasnia yetu, hatuna budi...

 

11 years ago

GPL

KANUMBA DAY... LULU AONGOZA VILIO KABURINI

Stori: Waandishi Wetu R.I.P Kanumba! Ikiwa imepita miaka miwili au siku 730 tangu aliyekuwa mwigizaji nambari wani Bongo, Steven Kanumba ‘The Great’ afariki dunia, aliyekuwa mpenzi wake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejikuta akiongoza kwa kumwaga machozi.
Elizabeth Michael ,'Lulu'akilia kwa majonzi juu ya kaburi la Kanumba. Katika kumbukumbu ya marehemu Kanumba Aprili 7, mwaka huu, wadau na wasanii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani