Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KANUMBA DAY JUMATATU 7/4/2014 DAR LIVE

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KANUMBA DAY DAR LIVE

KANUMBA DAY  itafanyika mwezi ujao  tarehe 7/4/2014 katika ukumbi wa Dar Live mbagala tiketi za tamasha la uzinduzi wa Kanumba Foundation  zitauzwa siku mbili kabla ya tamasha. Tiketi zitapatikana kwa Shilingi 2,000 kwa watoto wadogo Shilingi 10,000 kawaida na viti maalum vitakuwa Shilingi 50,000.  Tiketi zitapatikana Global PublisherS, Tabata sheli duka la Smart Fashion,Vanne Fashion tabata shule,Ofisi za Kanumba the...

 

11 years ago

GPL

WATOTO WALIVYOADHIMISHA KANUMBA DAY NDANI YA DAR LIVE

Watoto wakiburudika na burudani katika kumbukumbu ya Kanumba Day ndani ya Dar Live. Watoto wakishindana kucheza wimbo wa Majanga wa msanii Snura Mushi.…

 

11 years ago

GPL

KANUMBA DAY NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU

Akina dada wakionyesha baadhi ya kazi za marehemu Steven Charles Kanumba ndani ya ukumbi wa kisasa wa Dar Live. Filamu, viatu, gitaa na picha ya marehemu Kanumba akiwa na Rais Jakaya Kikwete vikiwa eneo maalum kwa ajili ya Kanumba Day.…

 

11 years ago

GPL

KANUMBA FOUNDATION YAZINDULIWA USIKU WA KUAMKIA LEO DAY DAR LIVE

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba akizindua rasmi Kanumba Foundation usiku wa kuamkia leo ndani ya Dar Live. ...Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ( TAFF), Simon  Mwakifwamba na Mama Kanumba (katikati) wakionyesha Katiba ya Kanumba…

 

10 years ago

Bongo Movies

Kanumba Day: Wastara Ana Haya Kuhusu Kitabu cha Kanumba

“Hiki kitabu chenye historia yako chatosha kunifanya nione umuhimu mkubwa uliokuwa nao katika tasnia na safari ndefu uliyopitia mpka ulimwengu kkutambua wew ni nani yoyte mwenye moyo wa dhati na asiyechoka na kukata siku zote atasimama nakufuata njia ulizopita duniani ni njia tu lakini jinsi utakavyoipita njia hii ndivyo utakavyowapa watu kumbukumbu ya kukkumbuka kilasiku tunakukumbuka sana lakini kifo ni safari ya lazima aina rushwa wala aikwepeki tuko nyuma yako mungu akusamehe makosa yako...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usiku wa Kanumba Dar Live leo

TAMASHA la Kanumba Day linatarajiwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam na kupambwa na burudani mbalimbali. Leo ni siku ya kuadhimisha kifo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani