Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sindano zamlaza Kiongera, aikosa Yanga

Mshambuliaji wa Simba Mkenya, Paul Modo Kiongera. Na Mwandishi Wetu
NI hofu na mashaka ya pambano la watani imeanza, sasa Simba itamkosa mshambuliaji wake Mkenya, Paul Modo Kiongera katika mechi dhidi ya Yanga.Mechi hiyo ya nne kwa kila timu ya Ligi Kuu Bara itapigwa Oktoba 12 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na tayari imethibitika Kiongera, hatacheza.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kiongera aikosa Yanga

>Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema  kuumia kwa Raphael Kiongera na Haruna Chanongo ni pigo kubwa kwa timu yake wakijiandaa na michezo miwili kabla ya kuivaa Yanga Oktoba 12.

 

10 years ago

GPL

Cannavaro aikosa... Azam FC

Beki na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Na Wilbert Molandi
BEKI na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ anatarajiwa kuikosa mechi yenye upinzani mkubwa ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC. Mechi hiyo ni muhimu kwa beki huyo kucheza kutokana na aina ya washambuliaji wa Azam FC. Mtanange huo utapigwa Desemba 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Cannavaro ataikosa...

 

10 years ago

Mwananchi

Samatta aikosa CSKA

Mshambuliaji wa TP Mazembe na Taifa Stars, Mbwana Samatta ameshindwa jaribio la kucheza soka Ulaya kwenye klabu ya CSKA Moscow ya Russia baada ya ofa yao kushindikikana kabla ya dirisha la usajili kufungwa.

 

11 years ago

GPL

MAYA AZIDIWA, AIKOSA KANUMBA DAY

Na Erick Evarist MWIGIZAJI ambaye ambaye alikuwa akifanya kazi kwa karibu sana na marehemu Steven Kanumba, Mayasa Mrisho ‘Maya’ alijikuta akishindwa kuhudhuria siku maalum ya marehemu baada ya kuzidiwa na ugonjwa wa malaria. Mwigizaji wa Bongo Muvi, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Siku ya Kanumba Day iliadhimishwa Jumatatu iliyopita ambapo ndugu pamoja na baadhi ya wasanii walijumuika pamoja kufanya maombi...

 

10 years ago

GPL

SINDANO WEE ZISIKIE TU!

Baada ya kuona kwa siku nne mfululizo nina kuwa na ndoto inajirudia, nimeona nitafute msaada wa kitaalamu. Kila ikifika saa nane ya usiku ndoto ya kutisha inaanza, najiona nimeshashinda uchaguzi na nimechaguliwa kuwa rais, magazeti na mativi yote yananishangilia, wananchi wenye furaha wako mitaani na mabango yenye jina langu, mipango yote ya kuniapisha inaanza, umeme unakatika wapambe wanajitahidi kurudisha umeme inashindikana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wataka Tembo wadungwe sindano

KUTOKANA na kero ya wanyama aina ya Tembo kushambulia mazao ya wananchi, na kuwaingizia hasara, wananchi wanaoishi pembezoni mwa Hifadhi ya Serengeti wilayani Bunda, wameiomba serikali kutafuta njia mbadala ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Katiba yapenya tundu la sindano

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakicheza ndani ya ukumbi wa bunge Dodoma

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakicheza ndani ya ukumbi wa bunge Dodoma

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

RASIMU ya Katiba inayopendekezwa inaonekana kuigawa nchi, baada ya wajumbe wa Bunge Maalumu kuipitisha mjini Dodoma jana.

Baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura ambazo zilionyesha kupatikana kwa theluthi mbili upande wa Tanzania Bara na Zanzibar, wananchi wa kada tofauti, viongozi wa kisiasa, dini, wasomi na taasisi mbalimbali wameonyesha wazi kutofautiana.

Miongoni mwa makundi hayo,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi wadungwa sindano kuzuia mimba


NA MWANDISHI WETU
WAKATI taifa likihaha kusaka tiba ya mimba za utotoni ili kuwezesha watoto wa kike kupata elimu, baadhi ya wauguzi wilayani Newala, Mtwara, wameibuka na mbinu mpya.
Wauguzi hao wanadaiwa kuwachoma sindano za uzazi wa mpango wanafunzi wa shule za msingi, kinyume cha utaratibu kwa lengo la kuwakinga na mimba zisizotarajiwa.
Hayo yamebainika kupitia taarifa ya Matokeo ya Ripoti ya Utafiti uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA). 
TAMWA iliendesha...

 

10 years ago

BBCSwahili

WHO yataka Sindano itumike mara moja

Shirika la afya duniani limependekeza sindano iwe ikitumika mara moja iliizuie maambukizi ya magonjwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani