Wanafunzi wadungwa sindano kuzuia mimba
NA MWANDISHI WETU
WAKATI taifa likihaha kusaka tiba ya mimba za utotoni ili kuwezesha watoto wa kike kupata elimu, baadhi ya wauguzi wilayani Newala, Mtwara, wameibuka na mbinu mpya.
Wauguzi hao wanadaiwa kuwachoma sindano za uzazi wa mpango wanafunzi wa shule za msingi, kinyume cha utaratibu kwa lengo la kuwakinga na mimba zisizotarajiwa.
Hayo yamebainika kupitia taarifa ya Matokeo ya Ripoti ya Utafiti uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA).
TAMWA iliendesha...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAMA WAKISHIRIKIANA NA ENGENDER HEALTH WAANDAA SEMINA YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA WILAYA YA TEMEKE.
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE
10 years ago
GPLNJIA ZA KUZUIA MIMBA-4
10 years ago
GPLNJIA ZA KUZUIA MIMBA - 6
10 years ago
GPLNJIA ZA KUZUIA MIMBA-5
10 years ago
GPLNJIA ZA KUZUIA MIMBA
9 years ago
VijimamboVODACOM YAJIPANGA KUZUIA MIMBA MASHULENI
Mgeni rasmi katika mahafali ya 13 ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Shimbwe iliyopo Uru Moshi vijijini,Ofisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Mawasiliano ya...
5 years ago
BBCSwahili24 Jun
Matumizi ya dawa za dharura kuzuia mimba na mipira ya kiume yapungua Uingereza
10 years ago
Mwananchi21 Apr
Tunaweza kuzuia ukatili kwa wanafunzi?