Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NJIA ZA KUZUIA MIMBA-4

Wiki iliyopita tulizungumzia njia ya kuzuia mimba kwa kutumia Caps ambayo ni ndogo kuliko Diaphragms, tunaendelea kuchambua Progestogen kama ifuatavyo: Chembechembe maalum ziitwazo Progestogen ni mchanganyiko wa Oestrogen na Progestogen, huingizwa mwilini mwa mwanamke kwa mpangilio na kiwango maalum ili kuzuia mimba kutungwa.
Hufanya kazi kwa namna hii:
* Kwa kuzuia ovari kuangua mayai. * Kwa kuzuia mbegu za mwanaume...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NJIA ZA KUZUIA MIMBA - 6

Tunaendelea kuchambua njia mbalimbali za kuzuia mwanamke kushika mimba, leo tunaanza na kusimulia njia ya kitanzi: Kitanzi (au koili)  kinakadiriwa kuzuia mimba kwa asilimia 98 na 99. Na pindi kikitolewa asili ya uwezo wa mwanamke wa kushika mimba anapofanya ngono, unarudi vilevile. Hata hivyo, moja ya matatizo ya kitanzi ni kwamba vinaweza kuifanya hedhi yako kuwa nzito (damu kutoka nyingi) na pia huenda ukapatwa na maumivu,...

 

10 years ago

GPL

NJIA ZA KUZUIA MIMBA-5

Leo naendelea kuelezea njia za kuzuia mimba. Tuwe pamoja...
Sindano - Hii ni chanjo ya kuzuia mimba inayotengenezwa na chembechembe hizohizo za homoni ya Progestogen. Tofauti na tembe, ambazo ni sharti kumeza moja kila siku, sindano pindi inapodungwa inakupa kinga dhidi ya mimba, kwa muda wa kati ya wiki nane hadi 12 kuambatana na aina inayotumiwa. Hudungwa katika kalio, na dawa kuingizwa ndani ya mishipa ya damu na ina uwezo...

 

10 years ago

GPL

NJIA ZA KUZUIA MIMBA

Dawa au vifaa vya uzazi ni baadhi ya taratibu zinazotumiwa kuzuia mimba kutungwa. Ikiwa msichana au wanamke atafanya mapenzi pasi na kutumia mojawapo ya mbinu hizo basi, kuna uwezekano wa theluthi moja kwamba atapata mimba. Hata hivyo, aina yoyote ya kuzuia mimba utakayoichagua ni lazima itumiwe kama ilivyoagizwa, ili kuleta matokeo ya hakika.Baadhi ya njia hizo kama vile kutumia kondom wakati wa ngono, pia kwa kiasi fulani humpa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi wadungwa sindano kuzuia mimba


NA MWANDISHI WETU
WAKATI taifa likihaha kusaka tiba ya mimba za utotoni ili kuwezesha watoto wa kike kupata elimu, baadhi ya wauguzi wilayani Newala, Mtwara, wameibuka na mbinu mpya.
Wauguzi hao wanadaiwa kuwachoma sindano za uzazi wa mpango wanafunzi wa shule za msingi, kinyume cha utaratibu kwa lengo la kuwakinga na mimba zisizotarajiwa.
Hayo yamebainika kupitia taarifa ya Matokeo ya Ripoti ya Utafiti uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA). 
TAMWA iliendesha...

 

9 years ago

Vijimambo

VODACOM YAJIPANGA KUZUIA MIMBA MASHULENI

Mgeni rasmi katika mahafali ya 13 ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Shimbwe iliyopo Uru Moshi vijijini,Ofisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi,Georgia Mutagahywa (mwenye suti nyeusi) akizungumza jambo mara baada ya kutembelea darasa la Kompyuta shuleni hapo juzi.
Mgeni rasmi katika mahafali ya 13 ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Shimbwe iliyopo Uru Moshi vijijini,Ofisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Mawasiliano ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Matumizi ya dawa za dharura kuzuia mimba na mipira ya kiume yapungua Uingereza

Kanuni ya kutotoka nje imesababisha kupungua kwa mauzo ya vidonge vya kuzuia mimba ambazo hutumika mara tu baada ya kujamiiana maarufu P2, utafiti umeonesha.

 

10 years ago

GPL

ASKOFU WA KATOLIKI AELEZA NJIA MPYA KUZUIA KATIBA

Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi. MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo watapita kwa Watanzania na waumini wao kuwaeleza nini cha kufanya. Jukwaa hilo lilikutana Agosti 27 hadi 28, mwaka huu na kujadili hatima ya Bunge hilo na...

 

10 years ago

Mtanzania

Askofu wa Katoliki aeleza njia mpya kuzuia Katiba

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi

NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo watapita kwa Watanzania na waumini wao kuwaeleza nini cha kufanya.

Jukwaa hilo lilikutana Agosti 27 hadi 28, mwaka huu na kujadili hatima ya Bunge hilo na kutoa mapendekezo sita, moja ikiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani