NJIA ZA KUZUIA MIMBA - 6
![](http://api.ning.com:80/files/o1QX7UF1Vt5s5KtnVQYjvJF33C4r5YJBPbUQ*udHxkh32PLSoGpszd8WuxNqyJ3VisazL5PABl2DWknhE5erYG4Hp5yqS615/pregnantwomansleeping.jpg?width=650)
Tunaendelea kuchambua njia mbalimbali za kuzuia mwanamke kushika mimba, leo tunaanza na kusimulia njia ya kitanzi: Kitanzi (au koili)Â kinakadiriwa kuzuia mimba kwa asilimia 98 na 99. Na pindi kikitolewa asili ya uwezo wa mwanamke wa kushika mimba anapofanya ngono, unarudi vilevile. Hata hivyo, moja ya matatizo ya kitanzi ni kwamba vinaweza kuifanya hedhi yako kuwa nzito (damu kutoka nyingi) na pia huenda ukapatwa na maumivu,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sMzwNc2e83tEHiK1zwINNR97aVLGsbjqs22r-gh1T-OjODg8Un0kDdQmfJOFISP6sZpFdzi0A22h8ONrAzHdBDf*MBwj2YQp/pregnant_2176694b.jpg?width=650)
NJIA ZA KUZUIA MIMBA-4
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pBrEDFyKDmNRC46oMXYcd5l*j-ckIGYg5Pc9ByoZ5rWThEj-mLAc37hyIK3uxJa63sVUd8qeh6MVtPtt*K2xqNv3myKATM2J/pregnantwomanpain111108.jpg?width=650)
NJIA ZA KUZUIA MIMBA-5
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70uYnxISK4elVfNtpgUboVqqnsI-Jr7dFtXWHTGHneLKl1YOPy0QgkwrPMJXMeuHoOBSyU6ZKacClE7lXHxkz3UU/pregnantbelly100920.jpg?width=650)
NJIA ZA KUZUIA MIMBA
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Sep
Wanafunzi wadungwa sindano kuzuia mimba
NA MWANDISHI WETU
WAKATI taifa likihaha kusaka tiba ya mimba za utotoni ili kuwezesha watoto wa kike kupata elimu, baadhi ya wauguzi wilayani Newala, Mtwara, wameibuka na mbinu mpya.
Wauguzi hao wanadaiwa kuwachoma sindano za uzazi wa mpango wanafunzi wa shule za msingi, kinyume cha utaratibu kwa lengo la kuwakinga na mimba zisizotarajiwa.
Hayo yamebainika kupitia taarifa ya Matokeo ya Ripoti ya Utafiti uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA).
TAMWA iliendesha...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-PH6Itjoe9Eg/ViR8hIrHjHI/AAAAAAAAVco/QpiJz0u6hyQ/s72-c/IMG_0648%2B%25281280x853%2529.jpg)
VODACOM YAJIPANGA KUZUIA MIMBA MASHULENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-PH6Itjoe9Eg/ViR8hIrHjHI/AAAAAAAAVco/QpiJz0u6hyQ/s640/IMG_0648%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-RcKL-cwd0qY/ViR8ideH3NI/AAAAAAAAVcw/gor-Tem7aEQ/s640/IMG_0657%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-E0CV4oiuOQE/ViR8rgJ2YxI/AAAAAAAAVdQ/3WmOzHFBGyE/s640/IMG_0669%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-9ju80JEju7w/ViR8t0Ia_LI/AAAAAAAAVdY/NscbYOgdhtQ/s640/IMG_0670%2B%25281280x853%2529.jpg)
5 years ago
BBCSwahili24 Jun
Matumizi ya dawa za dharura kuzuia mimba na mipira ya kiume yapungua Uingereza
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/26rh2i2B5MYTLNLYpF2RkqiaGdcgk5Dk6Jdl*YyKZPYkBrpwyc-EdINJvVtXkR4o*oKEilw2VeC3r1R42gRg-sGbMwE1ebAj/AskofuSeverinNiwemugizi.jpg?width=650)
ASKOFU WA KATOLIKI AELEZA NJIA MPYA KUZUIA KATIBA
10 years ago
Mtanzania23 Sep
Askofu wa Katoliki aeleza njia mpya kuzuia Katiba
![Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Askofu-Severin-Niwemugizi.jpg)
Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo watapita kwa Watanzania na waumini wao kuwaeleza nini cha kufanya.
Jukwaa hilo lilikutana Agosti 27 hadi 28, mwaka huu na kujadili hatima ya Bunge hilo na kutoa mapendekezo sita, moja ikiwa...