Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM YAJIPANGA KUZUIA MIMBA MASHULENI

Mgeni rasmi katika mahafali ya 13 ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Shimbwe iliyopo Uru Moshi vijijini,Ofisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi,Georgia Mutagahywa (mwenye suti nyeusi) akizungumza jambo mara baada ya kutembelea darasa la Kompyuta shuleni hapo juzi.
Mgeni rasmi katika mahafali ya 13 ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Shimbwe iliyopo Uru Moshi vijijini,Ofisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Mawasiliano ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mimba mashuleni zaathiri wasichana DRC

Wasichana nchini DRC wafukuzwa shule baada ya kupata ujauzito

 

5 years ago

Michuzi

WADAU WA MAENDELEO WAGUSWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTOKOMEZA MIMBA ZA MASHULENI

Mkuu wa  mkoa wa Arusha  Mrisho Gambo
Na Ahmed Mahmoud ArushaONGEZEKO la idadi  ya  wanafunzi wanaokatishwa  masomo  kwa kupewa  mimba limeibua hofu kwa  wadau  wa  maendeleo wa  ndani  na  nje  ya  nchi, ambao  baadhi  yao   wameshindwa  kuvumilia na kuamua  kuungana  na  serikali kusaidia  kukabiliana  na tatizo  hilo La Mimba kwa wanafunzi wakike.
 Na Miongoni wa  wadau  hao kutoka nje ya nchi ni pamoja na  wahisani Kutoka Nchi ya Korea  ambao   wamejitolea  kusaidia nakwa  Upande  wa ...

 

10 years ago

GPL

NJIA ZA KUZUIA MIMBA

Dawa au vifaa vya uzazi ni baadhi ya taratibu zinazotumiwa kuzuia mimba kutungwa. Ikiwa msichana au wanamke atafanya mapenzi pasi na kutumia mojawapo ya mbinu hizo basi, kuna uwezekano wa theluthi moja kwamba atapata mimba. Hata hivyo, aina yoyote ya kuzuia mimba utakayoichagua ni lazima itumiwe kama ilivyoagizwa, ili kuleta matokeo ya hakika.Baadhi ya njia hizo kama vile kutumia kondom wakati wa ngono, pia kwa kiasi fulani humpa...

 

10 years ago

GPL

NJIA ZA KUZUIA MIMBA-4

Wiki iliyopita tulizungumzia njia ya kuzuia mimba kwa kutumia Caps ambayo ni ndogo kuliko Diaphragms, tunaendelea kuchambua Progestogen kama ifuatavyo: Chembechembe maalum ziitwazo Progestogen ni mchanganyiko wa Oestrogen na Progestogen, huingizwa mwilini mwa mwanamke kwa mpangilio na kiwango maalum ili kuzuia mimba kutungwa.
Hufanya kazi kwa namna hii:
* Kwa kuzuia ovari kuangua mayai. * Kwa kuzuia mbegu za mwanaume...

 

10 years ago

GPL

NJIA ZA KUZUIA MIMBA-5

Leo naendelea kuelezea njia za kuzuia mimba. Tuwe pamoja...
Sindano - Hii ni chanjo ya kuzuia mimba inayotengenezwa na chembechembe hizohizo za homoni ya Progestogen. Tofauti na tembe, ambazo ni sharti kumeza moja kila siku, sindano pindi inapodungwa inakupa kinga dhidi ya mimba, kwa muda wa kati ya wiki nane hadi 12 kuambatana na aina inayotumiwa. Hudungwa katika kalio, na dawa kuingizwa ndani ya mishipa ya damu na ina uwezo...

 

10 years ago

GPL

NJIA ZA KUZUIA MIMBA - 6

Tunaendelea kuchambua njia mbalimbali za kuzuia mwanamke kushika mimba, leo tunaanza na kusimulia njia ya kitanzi: Kitanzi (au koili)  kinakadiriwa kuzuia mimba kwa asilimia 98 na 99. Na pindi kikitolewa asili ya uwezo wa mwanamke wa kushika mimba anapofanya ngono, unarudi vilevile. Hata hivyo, moja ya matatizo ya kitanzi ni kwamba vinaweza kuifanya hedhi yako kuwa nzito (damu kutoka nyingi) na pia huenda ukapatwa na maumivu,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi wadungwa sindano kuzuia mimba


NA MWANDISHI WETU
WAKATI taifa likihaha kusaka tiba ya mimba za utotoni ili kuwezesha watoto wa kike kupata elimu, baadhi ya wauguzi wilayani Newala, Mtwara, wameibuka na mbinu mpya.
Wauguzi hao wanadaiwa kuwachoma sindano za uzazi wa mpango wanafunzi wa shule za msingi, kinyume cha utaratibu kwa lengo la kuwakinga na mimba zisizotarajiwa.
Hayo yamebainika kupitia taarifa ya Matokeo ya Ripoti ya Utafiti uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA). 
TAMWA iliendesha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Matumizi ya dawa za dharura kuzuia mimba na mipira ya kiume yapungua Uingereza

Kanuni ya kutotoka nje imesababisha kupungua kwa mauzo ya vidonge vya kuzuia mimba ambazo hutumika mara tu baada ya kujamiiana maarufu P2, utafiti umeonesha.

 

10 years ago

Michuzi

WAMA WAKISHIRIKIANA NA ENGENDER HEALTH WAANDAA SEMINA YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA WILAYA YA TEMEKE.

  Meneja Uragibishi na Mawasiliano wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Philomena Marijani (aliyesimama)akitoa maelezo mafupi kuhusu semina ya siku 5 kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari katika Wilaya ya Temeke itayozungumzia uzuiaji wa mimba za utotoni kwa wanafunzi wa wilaya hiyo. Semina hiyo inafanyika katika Shule ya Sekondari Kibasila kuanzia tarehe 13 hadi 17.4.2015.   Baadhi ya wanafunzi na walimu kutoka Shule 11 za Sekondari katika Wilaya ya Temeke wakisikiliza hotuba ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani