Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SINDANO WEE ZISIKIE TU!

Baada ya kuona kwa siku nne mfululizo nina kuwa na ndoto inajirudia, nimeona nitafute msaada wa kitaalamu. Kila ikifika saa nane ya usiku ndoto ya kutisha inaanza, najiona nimeshashinda uchaguzi na nimechaguliwa kuwa rais, magazeti na mativi yote yananishangilia, wananchi wenye furaha wako mitaani na mabango yenye jina langu, mipango yote ya kuniapisha inaanza, umeme unakatika wapambe wanajitahidi kurudisha umeme inashindikana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

CC meets until the wee hours

CCM’s Central Committee meeting dragged on past midnight as members haggled over the Top Five shortlist of potential presidential candidates.

 

10 years ago

GPL

UNAVUKA ZEBRA CROSSING WEE PUNDAMILIA?

Dah nimeokota waraka huu wa siri unaoonekana umeandikwa na jamaa wenye vyombo vya usafiri, na unaelekezwa kwa watembea kwa miguu Dar es Salaam. Nimeona niulete hapa hadharani. Ndugu watembea kwa miguu, sisi wenye vyombo vya moto vya usafiri baada ya kuvumilia kwa muda mrefu tumeona tutoe dukuduku letu kuhusu nyinyi watembea kwa miguu wa Tanzania hususan nyinyi wa Jiji la Dar a.k.a Bongo. Watembea kwa miguu mnasababisha kero kwa...

 

10 years ago

GPL

HAYA MABASI YA MKOA, WEE ACHA TU!

Niliamka saa kumi alfajiri ili niweze kuwahi basi la kwanza ili nifanye safari yangu ya mkoa. Nilimpigia simu Bodaboda, akaja huku akilalamika kuwa nimemuamsha mapema mno, hatimae nikajikuta ndani ya basi nikiwa nimekaa kwenye kiti nilichopangiwa. Sikukaa muda mrefu akaingia mama mmoja naye akakaa pembeni yangu, tukasalimana vizuri na kutulia kungoja safari ianze. Basi likajaa saa kumi na mbili safari ikaanza, haikuchukua muda...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wataka Tembo wadungwe sindano

KUTOKANA na kero ya wanyama aina ya Tembo kushambulia mazao ya wananchi, na kuwaingizia hasara, wananchi wanaoishi pembezoni mwa Hifadhi ya Serengeti wilayani Bunda, wameiomba serikali kutafuta njia mbadala ya...

 

11 years ago

Mtanzania

Katiba yapenya tundu la sindano

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakicheza ndani ya ukumbi wa bunge Dodoma

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakicheza ndani ya ukumbi wa bunge Dodoma

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

RASIMU ya Katiba inayopendekezwa inaonekana kuigawa nchi, baada ya wajumbe wa Bunge Maalumu kuipitisha mjini Dodoma jana.

Baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura ambazo zilionyesha kupatikana kwa theluthi mbili upande wa Tanzania Bara na Zanzibar, wananchi wa kada tofauti, viongozi wa kisiasa, dini, wasomi na taasisi mbalimbali wameonyesha wazi kutofautiana.

Miongoni mwa makundi hayo,...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Makomando Ft Juma Nature – Mama Wee

artist_2192fada18da1b8ca1d800a292ec4f759e8.png

Kundi la mziki wa bongo fleva Makomando wameachia wimbo wao mpya unaitwa “Mama Wee”. wamemshirikisha mkongwe wa mziki huo Juma Nature. Studio Free Nation Music

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Global Publishers

Hujui? Wee mwenyewe ndo’ unamchepua mwenzio!

julianadidone3Leo shoga nina hasira na akina mama wanaodorora kwenye mahanjamu, ambao hawajui muda wa mume kupata chakula cha usiku au hawawapi nafasi waume zao pale wanapowahitaji.

Kutokana na hasira hizi hata salamu naona ngumu kuwapa kwani pointi zangu zitayeyuka, hivi mashosti hamjui mwanaume akishakuwa na stimu ya kula chakula hutakiwi kumkatisha?

Ndiyo maana wengi wenu mnalalamika kutoridhika, mara ooh mume wangu hana hamu siku zote.

Atakuwaje na hamu wakati akiwa nayo unamdengulia? Naamua kuwapa...

 

11 years ago

GPL

WEE KAKA, PUNGUZA MAJI UGALI UIVE

MUHALI gani mabibi na mabwana hasa mlio katika mfungo wa Kwarezima. Najua mmenisubiri kwa hamu nami siwezi kuzipunguza raha zenu bali kuziongeza. Nashukuru kwa wote mlionipongeza kwa kupata mafunzo ambayo hawakuyapata hapo awali, siyo wote wamepitia mafunzo ya utaratibu wa maisha wa jando au unyago.Kutokana na kupokea maombi ya kina baba nao kuomba niwakumbuke katika ufalme wa mahusiano nami sina hiyana kwa vile wao ndiyo wapiga...

 

11 years ago

GPL

Sindano zamlaza Kiongera, aikosa Yanga

Mshambuliaji wa Simba Mkenya, Paul Modo Kiongera. Na Mwandishi Wetu
NI hofu na mashaka ya pambano la watani imeanza, sasa Simba itamkosa mshambuliaji wake Mkenya, Paul Modo Kiongera katika mechi dhidi ya Yanga.Mechi hiyo ya nne kwa kila timu ya Ligi Kuu Bara itapigwa Oktoba 12 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na tayari imethibitika Kiongera, hatacheza.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani