HAYA MABASI YA MKOA, WEE ACHA TU!
Niliamka saa kumi alfajiri ili niweze kuwahi basi la kwanza ili nifanye safari yangu ya mkoa. Nilimpigia simu Bodaboda, akaja huku akilalamika kuwa nimemuamsha mapema mno, hatimae nikajikuta ndani ya basi nikiwa nimekaa kwenye kiti nilichopangiwa. Sikukaa muda mrefu akaingia mama mmoja naye akakaa pembeni yangu, tukasalimana vizuri na kutulia kungoja safari ianze. Basi likajaa saa kumi na mbili safari ikaanza, haikuchukua muda...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTYEC MKOA WA SINGIDA YATOA ELIMU STENDI YA MABASI NAMNA YA KUJIKINGA KUPATA VIRUSI VYA CORONA
Mmoja wa Wanajumuiya ya TYEC, Richard Assey, akionesha namna ya kujipaka Sanitizer kwa ajili ya kujikinga na Virusi...
10 years ago
TheCitizen11 Jul
CC meets until the wee hours
10 years ago
GPLSINDANO WEE ZISIKIE TU!
10 years ago
GPLUNAVUKA ZEBRA CROSSING WEE PUNDAMILIA?
9 years ago
Bongo530 Nov
Music: Makomando Ft Juma Nature – Mama Wee
Kundi la mziki wa bongo fleva Makomando wameachia wimbo wao mpya unaitwa “Mama Wee”. wamemshirikisha mkongwe wa mziki huo Juma Nature. Studio Free Nation Music
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
GPLWEE KAKA, PUNGUZA MAJI UGALI UIVE
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Hujui? Wee mwenyewe ndo’ unamchepua mwenzio!
Leo shoga nina hasira na akina mama wanaodorora kwenye mahanjamu, ambao hawajui muda wa mume kupata chakula cha usiku au hawawapi nafasi waume zao pale wanapowahitaji.
Kutokana na hasira hizi hata salamu naona ngumu kuwapa kwani pointi zangu zitayeyuka, hivi mashosti hamjui mwanaume akishakuwa na stimu ya kula chakula hutakiwi kumkatisha?
Ndiyo maana wengi wenu mnalalamika kutoridhika, mara ooh mume wangu hana hamu siku zote.
Atakuwaje na hamu wakati akiwa nayo unamdengulia? Naamua kuwapa...
9 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziMabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam