Simon Msuva atorokea Afrika ya Kusini
Simon Msuva ameitoroka klabu yake ya Yanga na kuelekea afrika ya Kusini kufanya majaribio ya kujiunga na klabu ya Orlando Pirates.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-MQUK68_pfIM/VU2tIpE8jpI/AAAAAAABiAk/bzpKWMFhO6k/s72-c/SIMON%2BMSUVA.jpg)
MSUVA MAMBO SAFI AFRIKA KUSINI, YANGA WALETEWA OFA RASMI YA KUMUUZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-MQUK68_pfIM/VU2tIpE8jpI/AAAAAAABiAk/bzpKWMFhO6k/s1600/SIMON%2BMSUVA.jpg)
Simon Msuva amefaulu majaribio Afrika Kusini
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simon Msuva anarejea jioni ya leo Dar es Salaam na tabasamu ‘kuubwa’ baada ya kufaulu majaribio ya kucheza soka ya kulipwa Afrika Kusini.
Winga huyo wa mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC jana amekamilisha majaribio yake ya siku tatu Bidvest Wits ya Ligi Kuu nchini humo na matokeo ni ‘safi’.
BIN ZUBEIRY inafahamu Bidvest Wits wameridhika na uwezo Msuva na sasa wanafungua majadiliano na klabu yake,...
10 years ago
BBCSwahili10 May
Simon Msuva arejea Tanzania
Simon Msuva amerejea nchini Tanzania akitokea nchini Afrika ya Kusini alipokwenda kufanya majaribio ya soka la kulipwa.
10 years ago
Mwananchi11 May
USAJILI: Simon Msuva aiangukia Yanga
>Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amereja nchini akitokea Afrika Kusini kufanya majaribio ya soka la kulipwa na amewaangukia viongozi wake kutofanya makosa ya kuzuia uhamisho wake.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IxPfzOrgAhfrQa7SychqZk7tJNr2GrF-2I9LyajzlByUEZ8WFRGOtGBziXAwxNF8aapOdq91NiIFFAGMr51XBpLFb3NFs5Ep/55.jpg?width=650)
Wasauz wamfuata Simon Msuva Dar
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Happygod Msuva. Nicodemus Jonas,
Dar es Salaam
UNAKULA ulichopanda! Ndiyo kauli pekee inayofaa kutumika unapomzungumzia winga tishio msimu huu, Simon Happygod Msuva anayenukia kiatu cha ufungaji bora ambaye tayari ameshawatoa udenda Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ambao Ijumaa walikuwa uwanjani hapo kumfuatilia kwa ukaribu kabla ya kuweka ‘kikao’ na uongozi wa Yanga muda mfupi...
10 years ago
BBCSwahili15 Jun
Mwanajeshi wa Korea Kaskazini atorokea Kusini
Mwanajeshi wa Korea Kaskazini ametorokea Korea Kusini akipitia mpaka wa mkoa wa Gangwo
10 years ago
BBCSwahili30 Aug
Waziri mkuu wa Lesotho atorokea A.kusini
Waziri mkuu nchini Lesotho Tom Thabane ameiambia BBC kwamba amelitoroka taifa hilo baada ya kupata vitisho vya maisha yake.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Lan-pcEuezY/VX0BU3apIjI/AAAAAAAHfSE/es9kYldeCic/s72-c/unnamed%2B%252846%2529.jpg)
RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA UMOJA WA AFRIKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Lan-pcEuezY/VX0BU3apIjI/AAAAAAAHfSE/es9kYldeCic/s640/unnamed%2B%252846%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-f6T41KzEiUg/VX0BUzf7sgI/AAAAAAAHfSA/IDRjfqJw3t8/s640/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
10 years ago
MichuziAFRIKA KUSINI WATWAA UBINGWA WA SAFARI POOL AFRIKA 2014
10 years ago
Bongo523 Apr
Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake
Muongozaji wa video, Godfather kutoka Afrika Kusini ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo Diamond, Ommy Dimpoz, Alikiba, Linah na wengine, anatarajia kufanya ziara ya Afrika mashariki akiwa na crew yake. Katika ziara hiyo ya siku saba itakayoanza mwisho wa mwezi huu wa nne, Godfather amesema atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania