Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Eti Yanga ina mashabiki 35 milioni!

Ukibisha jeuri! Eti Yanga, sasa ina mashabiki wanaofikia milioni 35 kati ya Watanzania milioni 44 kwa mujibu wa kauli ya mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

kuelekea mtanange wa Simba na Yanga, mashabiki milioni 20 matumbo joto

Mega sport.com
Hakuna takwimu sahihi za mashabiki wa klabu kongwe nchini za Simba na Yanga ni wangapi, lakini si chini ya watu milioni 20, akili zao zitasimama kwa takriban dk 90 na kupata kiwewe cha huzuni au furaha wakati miamba hiyo itakapovaana hapo kesho Taifa.
Joto la mechi hiyo tayari limepanda Zaidi ya nyuzi 90 huku kukiwa na hisia tofauti zikiwemo za udanganyifu wa wachezaji kuwa majeruhi ili kuteka akili za wapinzani.
Tayari kuna taarifa Yanga itawakosa wachezaji wake muhimu akiwemo...

 

11 years ago

GPL

ETI WANANDOA, MBONA KILA MTU SIMU YAKE INA PASSWORD?

NI matumaini yangu kwamba mu wazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku kama kawaida. Mimi mzima, nashukuru Mungu kanifanya kuwa kati ya wale wanaoendelea kuvuta hewa yake bila malipo yoyote. Mpenzi msomaji wangu, tatizo la simu za mkononi kuwa chanzo cha migongano ndani ya ndoa limekuwa sugu katika siku za hivi karibuni. Si kitu cha ajabu kusikia wanandoa wameachana, wamenuniana au hata kupigana kisa kikiwa...

 

9 years ago

Bongo5

Apple Music ina watumiaji milioni 15 — CEO

Huduma ya usikilizaji muziki mtandaoni ya Apple Music, imefikisha watumiaji milioni 6.5 wanaolipia, mwenyekiti mtendaji wa kampuni hiyo, Tim Cook amesema. Akiongea kwenye mkutano ulioandaliwa na The Wall Street Journal huko Laguna Beach, Calif., Cook alisema watumiaji wengine milioni 8.5 wanashiriki kwenye mpango wa majaribio wa miezi mitatu. Apple Music ilianzishwa June mwaka huu kwaajili […]

 

9 years ago

Global Publishers

Pluijm eti anataka soka la Wenger Yanga

wengerArsene Wenger

Na Sweetbert Lukonge

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amekubali yaishe kwa kusema sasa anataka mabao tu na haina haja kupiga pasi nyingi wakati timu inataka ushindi, naye Hans van Der Pluijm wa Yanga ameiga.

Wakati Wenger akitamka maneno hayo katikati ya wiki hii, Pluijm raia wa Uholanzi anayeinoa Yanga amesema maneno hayo jana Ijumaa wakati timu yake ilipofanya mazoezi ya mwisho kabla ya leo kuivaa Mbeya City.

pluijm1.jpgHans van Der Pluijm wa Yanga.

Akizungumza na Championi Jumamosi,...

 

9 years ago

Bongo5

Instagram sasa ina watumiaji (active) zaidi ya milioni 400

Mtandao wa Instagram unaomilikiwa na kampuni ya Facebook, sasa umefikisha watumiaji zaidi ya milioni 400 duniani. Watumiaji wapya wa Instagram milioni 100 wameongezeka katika kipindi cha miezi tisa iliyopita na kuizidi Twitter yenye watumiaji milioni 316 active kila mwezi. Kampuni ya utafiti ya eMarketer imekadiria kuwa mapato yatokanayo na matangazo kwenye Instagram yatafikia dola bilioni […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga ina matumaini ya ushindi

Kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema wana ari ya kushinda mechi yao ya mwishoni mwa wiki hii dhidi ya Etoile du Sahel .

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka

Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!

 

Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga ina matumaini kombe la shirikisho.

Klabu ya Yanga Tanzania imesema ina inamatumaini ya kusonga mbele kwenye michuano ya soka kombe la Shirikisho Barani Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani