Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kuelekea mtanange wa Simba na Yanga, mashabiki milioni 20 matumbo joto

Mega sport.com
Hakuna takwimu sahihi za mashabiki wa klabu kongwe nchini za Simba na Yanga ni wangapi, lakini si chini ya watu milioni 20, akili zao zitasimama kwa takriban dk 90 na kupata kiwewe cha huzuni au furaha wakati miamba hiyo itakapovaana hapo kesho Taifa.
Joto la mechi hiyo tayari limepanda Zaidi ya nyuzi 90 huku kukiwa na hisia tofauti zikiwemo za udanganyifu wa wachezaji kuwa majeruhi ili kuteka akili za wapinzani.
Tayari kuna taarifa Yanga itawakosa wachezaji wake muhimu akiwemo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MTANANGE WA YANGA NA SIMBA VIKOSI VYATAJWA

KIKOSI CHA YANGA
Deogratius Munisi "Dida" Juma Abdul, Oscar Joshua, Nadir Haroub "Cannavaro" Kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Hassan Dilunga, Haruna Niyonzima, Genilson Santos "Jaja", Mrisho Ngasa, Andrey Coutinho.


BENCHI LA AKIBA
Juma Kaseja, Salum Telela, Rajab Zahir, Nizar Khalfan, Simon Msuva, Hamis Kiiza na Jerson Tegete.


KIKOSI CHA SIMBA
Manyika Peter, William Lucian, Mohamed Husseni, Hassan Shaka, Joseph Owino, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Said Ndemla, Elias Maguri, Amri Kiemba na Emanueli Okwi

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba na Jokate washuhudia mtanange wa Simba na Yanga pamoja

Alikiba na Jokate Mwegelo waligeuka kuwa kama kumbi kumbi weekend hii baada ya kuungana pamoja kushuhudia mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Alikiba na Jokate wakitoka katika uwanja wa Taifa Jokate ambaye anaonekana kuwa ni shabiki wa Yanga iliyoibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi […]

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri matumbo joto

Kamati ya Bunge ya kuchunguza athari za Operesheni Tokomeza Ujangili inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake leo, ambayo inaelezwa kuwa imependekeza kuchukuliwa kwa hatua dhidi ya vigogo kadhaa wa Serikali.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri, ma-DC, viongozi wa Serikali matumbo joto

Hatima ya mawaziri na watendaji waliotajwa katika sakata la uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow itajulikana Jumatatu ijayo wakati Rais Jakaya Kikwete atakapohutubia taifa kupitia mazungumzo na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

KABLA YA KUANZA KWA MTANANGE WA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA-SOMO LATOLEWA KUHUSU MALARIA NO MORE

 Wasanii mahiri wanaounda kundi la THT wakiimba wimbo wa Malaria No More  kabla ya mechi kuanza ya watani wa jadi Simba na Yanga.Wakati Vodacom Tanzania  kushirikiana na Taasisi ya Malaria No More na THTwalipokuwa wakitangaza namba maalumu ambayo wateja wanaotumia huduma za kampuni hiyo wanaweza kuitumia kupata taarifa zinazohusiana na ugonjwa wa malaria. Ili mteja kuweza kupata taarifa hizo zinazohusisha jinsi ya kujikinga, tiba na masuala mengine mbalimbali ya Malaria anachopaswa mteja...

 

9 years ago

Mwananchi

Eti Yanga ina mashabiki 35 milioni!

Ukibisha jeuri! Eti Yanga, sasa ina mashabiki wanaofikia milioni 35 kati ya Watanzania milioni 44 kwa mujibu wa kauli ya mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji.

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa hatari katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri (katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo bila mafanikio wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomaliziki jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bila timu hizo kufungana. Kushoto ni Kelvin Yondan, akijiandaa kutoa msaada.

MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-

YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani