Mawaziri, ma-DC, viongozi wa Serikali matumbo joto
Hatima ya mawaziri na watendaji waliotajwa katika sakata la uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow itajulikana Jumatatu ijayo wakati Rais Jakaya Kikwete atakapohutubia taifa kupitia mazungumzo na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Mawaziri matumbo joto
Kamati ya Bunge ya kuchunguza athari za Operesheni Tokomeza Ujangili inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake leo, ambayo inaelezwa kuwa imependekeza kuchukuliwa kwa hatua dhidi ya vigogo kadhaa wa Serikali.
11 years ago
Michuzi
kuelekea mtanange wa Simba na Yanga, mashabiki milioni 20 matumbo joto

Hakuna takwimu sahihi za mashabiki wa klabu kongwe nchini za Simba na Yanga ni wangapi, lakini si chini ya watu milioni 20, akili zao zitasimama kwa takriban dk 90 na kupata kiwewe cha huzuni au furaha wakati miamba hiyo itakapovaana hapo kesho Taifa.
Joto la mechi hiyo tayari limepanda Zaidi ya nyuzi 90 huku kukiwa na hisia tofauti zikiwemo za udanganyifu wa wachezaji kuwa majeruhi ili kuteka akili za wapinzani.
Tayari kuna taarifa Yanga itawakosa wachezaji wake muhimu akiwemo...
5 years ago
Michuzi
RAIS MAGUFULI ATUMA UJUMBE MZITO KWA VIONGOZI WA SERIKALI WANAOTAKA KUGOMBEA UBUNGE WAKIDHANI WATAKUWA MAWAZIRI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
RAIS Dk.John Magufuli amepeleka salamu kwa baadhi ya viongozi wa kada mbalimbali wanaodhani wakiachana nafasi zao na kwenda kugombea ubunge wakishinda atawateuwa katika Baraza la Mawaziri wajue wanajidanganya.
Ameyasema hayo leo Juni 22,2020 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta , Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi, Mkuu wa Wilaya ya Monduli Edward Balele ,Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa,Mkurugenzi wa Jiji...
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Baraza la Mawaziri Joto nyuzi 100
>Wakati Watanzania wakisubiri kwa hamu mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Rais Jakaya Kikwete amekuwa akikuna kichwa kupanga safu yake huku Ikulu ikiwataka wananchi kuwa watulivu katika kipindi hiki.
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Viongozi kujadili athari za joto duniani
Mazungumzo kuhusu Mabadiliko ya tabia nchi yanaanza rasmi asubuhi ya leo huko jijini Paris nchini ufaransa, wakuu wa nchi zaidi ya mia na hamsini wanatarajiwa kuhudhuria.
5 years ago
Michuzi
VIONGOZI MBALIMBALI NA WAFANYAKAZI WAKIPIMWA VIPOMO VYA JOTO LA MWILI WANAPOINGIA IKULU ZANZIBAR.

WAZIRI Asiyekuwa na Wizara Maalum (MBM) Mhe Said Soud Said akipimwa joto la mwili kabla ya kuingia katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mapinduzi Kilichofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.25/11/2020. Anayefuata ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasi Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Sadala.(Picha na Ikulu)

11 years ago
Mwananchi19 Oct
Joto uchaguzi Serikali za mitaa lapanda
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetangaza ongezeko la idadi ya kata, vijiji, mitaa na vitongoji nchini vitakavyotumika kwa ajili ya uchaguzi serikali za mitaa, huku hatua hiyo ikiibua hoja miongoni mwa wanasiasa na wasomi.
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Viongozi wawajulia hali mawaziri Muhimbili Dar
Viongozi mbalimbali wa kitaifa jana walijitokeza kuwajulia hali, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya na Waziri wa Kazi na Utumishi wa Umma wa Zanzibar, Haroun Ali Suleiman, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakipatiwa matibabu ya maradhi yasiyofahamika.
11 years ago
Michuzi06 Mar
Serikali, UNDP, PATH wakubaliana njia bora ya kukabiliana na TB, Malaria na magonjwa kwenye nchi za joto

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania