Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la Mawaziri Joto nyuzi 100

>Wakati Watanzania wakisubiri kwa hamu mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Rais Jakaya Kikwete amekuwa akikuna kichwa kupanga safu yake huku Ikulu ikiwataka wananchi kuwa watulivu katika kipindi hiki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Joto nyuzi 100

Wakati Watanzania wakisubiri kwa hamu mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Rais Jakaya Kikwete amekuwa akikuna kichwa kupanga safu yake huku Ikulu ikiwataka wananchi kuwa watulivu katika kipindi hiki.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtandao wa Act Alliance wataka nchi kuunga mkono mapambano ya kufikia nyuzi joto 1.5!!

DSC_4066

Mmoja wa watu wanaohudhuria mkutano mkuu wa 21 wa mabadiliko ya tabianchi wa Umoja wa Mataifa COP 21 akipita huku akionyesha madaha ya kucheza kwenye zuria la kijani kuhamasisha upunguzaji wa joto Duiani. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog, Paris).

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[PARIS] Mtandao wa kimataifa wa  dhidi ya mambo ya mazingira wa Act Alliance umepaza sauti yao kwa kushinikiza mataifa ya dunia katika  uungaji mkono mapambano ya kufikia nyuzi joto 1.5, ifikapo 2050.

Act...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri matumbo joto

Kamati ya Bunge ya kuchunguza athari za Operesheni Tokomeza Ujangili inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake leo, ambayo inaelezwa kuwa imependekeza kuchukuliwa kwa hatua dhidi ya vigogo kadhaa wa Serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri, ma-DC, viongozi wa Serikali matumbo joto

Hatima ya mawaziri na watendaji waliotajwa katika sakata la uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow itajulikana Jumatatu ijayo wakati Rais Jakaya Kikwete atakapohutubia taifa kupitia mazungumzo na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

TAIFA liko katika mkao wa kusubiri kuapishwa kwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye Alhamisi iliyopita alitangazwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha urais dhidi ya wenzake saba lakini tayari Wabongo wanaumiza vichwa kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri la Magufuli. Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli.  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (Nec), ilimtangaza Dk. Magufuli kuwa mshindi mbele...

 

9 years ago

BBCSwahili

Baraza la Mawaziri Kenya, labadilishwa

Rais wa Kenya amefanya mabadiliko katika Baraza lake la Mawaziri, na kuwaacha wote wizara zao zilizotajwa katika ufisadi.

 

11 years ago

Habarileo

‘Acheni kudhalilisha Baraza la Mawaziri’

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk, Richard Sezibera ameasa wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuacha tabia ya kudhalilisha Baraza la Mawaziri.

 

11 years ago

Mtanzania

Kagame avunja Baraza la Mawaziri

Paul Kagame

Rais wa Rwanda, Paul Kagame

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amevunja baraza lake la mawaziri kwa kumuondoa aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Dk. Pierre Damien Habumuremyi na kumteua aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa Umma wa nchi hiyo, Anastase Murekezi, kuchukua wadhifa huo.

Dk. Habumuremyi alikuwa Waziri Mkuu wa Ruwanda tangu Oktoba 7, mwaka 2011.

Murekezi amekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo tangu kumalizika vita vya mauaji ya kimbari mwaka 1994.

Waziri Mkuu wa kwanza alikuwa Faustin...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli akamilisha Baraza la Mawaziri

Rais John Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa mawaziri na naibu waziri alizobakiza wakati akitangaza Baraza la Mawaziri la kwanza la Serikali ya Awamu ya Tano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani