Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


simba yatoka sare ya 1-1 na Stand United

Golikipa wa timu ya Stend United, John Mwenda akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe wakati wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka  Tanzania uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. (Picha na Francis Dande) 
Mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe akimtoka beki wa Stand United, Idd Mobby.
Maguri akiipangua ngome ya Stand United.Idd Mobby akimdhibiti Emmanuel Okwi.

MATOKEO YOTE YA LEO
SIMBA 1- STAND UNITED 1PILISI MORO 1- KAGERA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIMBA YABANWA MBAVU NA STAND UNITED, YATOKA 1-1

Kiungo wa Simba SC, Shaban Kisiga (kushoto) akimtoka beki wa Stand United, Reyna Mgungira. SIMBA SC imelazimishwa sare ya tatu mfululizo nyumbani baada ya kufungana bao 1-1 na Stand United ya Shinyanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hadi mapumziko, tayari timu hizo zilikuwa zimekwishafungana bao 1-1, Simba SC wakitangulia kupitia kwa Shaban Kisiga dakika ya 35 kabla ya Stand United kusawazisha dakika 10 baadaye. Wafungaji ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Man United yatoka sare

Bingwa wa zamani wa ligi ya Uingereza Manchester United kwa mara nyingine wamezuiliwa na timu ya Stoke City

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal yatoka sare na Manchester United

Arsenal yapotza nafasi ya kurejea kileleni mwa ligi kuu baada ya kutoka sare na Manchester United katika uwanja wa Emirates.

 

11 years ago

BBCSwahili

Fulham yatoka sare na Man United 2-2

Kilio na huzuni baada ya Fulham kufunga dakika ya mwisho na kuharibu sherehe za Man United katika Uwanja wa Old Trafford

 

10 years ago

BBCSwahili

Man United yalimwa,Chelsea yatoka sare

Manchester United ilikosa fursa ya kupanda juu na pointi kumi dhidi ya Liverpool baada ya kulazwa mabao matatu bila na kilabu ya Everton.

 

11 years ago

GPL

SIMBA YATOKA SARE NA MTIBWA SUGAR

HATIMAYE ubishi wa timu ya Mtibwa na wekundu wa msimbazi Simba umemalizika leo hii uwanja wa taifa baada ya kuchoshana nguvu kwa kufungana sare ya 1-1. Matokeo hayo, yanaiongezea Simba na kufikisha pointi 31 kibindoni na kupanda  nafasi ya tatu, sawa na  Vinara Mbeya city wenye pointi 31. Mfungaji wa Simba ni Hamisi Tambwe dakika ya 50 kipindi cha pili na Mtibwa Sugar ni Hasani Mgosi dakika ya 40 kipindi cha kwanza. ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Yanga yatoka sare,Simba yapeta

Yanga ikiwa ugenini huko Shinyanga ilikwenda sare ya mabao 2-2 na Mwadui Fc.

 

10 years ago

GPL

SIMBA YATOKA SARE NA COASTAL UNION TAIFA

Kikosi cha wachezaji wa Simba kilichoanza katika mchezo wa leo Kikosi cha wachezaji wa Coastal Union kilichoanza katika mchezo wa leo…

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAZIDI KUELEMEWA NA DROO, YATOKA SARE NA MTIBWA 1-1 LEO...

Hassan Ramadhan wa Mtibwa akijaribu kuudhibiti mpira huku akizongwa na Mohamed Hussein wa Simba, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Jamhuri, mjini Morogoro.Mchezo ulimalizika kwa droo ya 1-1

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani