Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA YABANWA MBAVU NA STAND UNITED, YATOKA 1-1

Kiungo wa Simba SC, Shaban Kisiga (kushoto) akimtoka beki wa Stand United, Reyna Mgungira. SIMBA SC imelazimishwa sare ya tatu mfululizo nyumbani baada ya kufungana bao 1-1 na Stand United ya Shinyanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hadi mapumziko, tayari timu hizo zilikuwa zimekwishafungana bao 1-1, Simba SC wakitangulia kupitia kwa Shaban Kisiga dakika ya 35 kabla ya Stand United kusawazisha dakika 10 baadaye. Wafungaji ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

simba yatoka sare ya 1-1 na Stand United

Golikipa wa timu ya Stend United, John Mwenda akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe wakati wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka  Tanzania uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. (Picha na Francis Dande) 
Mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe akimtoka beki wa Stand United, Idd Mobby.
Maguri akiipangua ngome ya Stand United.Idd Mobby akimdhibiti Emmanuel Okwi.

MATOKEO YOTE YA LEO
SIMBA 1- STAND UNITED 1PILISI MORO 1- KAGERA...

 

9 years ago

TheCitizen

Simba tactician optimistic after Stand United victory

Simba is striving to win the premiership for the first time since the 2011/12 season

 

9 years ago

Vijimambo

STAND UNITED YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA SIMBA

Beki wa Simba, Murshid Juuko akiwatoka wachezaji wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa leo. Simba imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)Mshambuliaji wa Simba, Simon Sserunkuma akimtoka beki wa Stand United, Abuu Ubwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA YASHIKWA SHARUBU NA STAND UNITED TAIFA HABARI NDIYO HIYO KWA WALE WANAZI WA MSIMBAZI HII INAWABAMBAJE.

Kiungo wa Simba SC, Shaban Kisiga (kushoto) akimtoka beki wa Stand United, Reyna Mgungira.SIMBA SC  Inaendelea kuchechemea licha ya majigambo mengi ya kuwa na kikosi bora msimu huu lakini mambo ni magumu dagaa kammeza paka  ndiyo kilichotokea na Stand United ya Shinyanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Hadi mapumziko, tayari timu hizo zilikuwa zimekwishafungana bao 1-1, Simba SC wakitangulia kupitia kwa Shaban Kisiga dakika ya 35 kabla ya Stand United kusawazisha dakika 10 baadaye.
Wafungaji ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Man United yatoka sare

Bingwa wa zamani wa ligi ya Uingereza Manchester United kwa mara nyingine wamezuiliwa na timu ya Stoke City

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal yatoka sare na Manchester United

Arsenal yapotza nafasi ya kurejea kileleni mwa ligi kuu baada ya kutoka sare na Manchester United katika uwanja wa Emirates.

 

11 years ago

BBCSwahili

Fulham yatoka sare na Man United 2-2

Kilio na huzuni baada ya Fulham kufunga dakika ya mwisho na kuharibu sherehe za Man United katika Uwanja wa Old Trafford

 

10 years ago

BBCSwahili

Man United yalimwa,Chelsea yatoka sare

Manchester United ilikosa fursa ya kupanda juu na pointi kumi dhidi ya Liverpool baada ya kulazwa mabao matatu bila na kilabu ya Everton.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga raha zao, Simba yabanwa

 YANGA jana iliendelea kujiweka vizuri katika harakati zake za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu baada ya kuichapa Stand United mabao 4-0 katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani