SIMBA YASHIKWA SHARUBU NA STAND UNITED TAIFA HABARI NDIYO HIYO KWA WALE WANAZI WA MSIMBAZI HII INAWABAMBAJE.
Kiungo wa Simba SC, Shaban Kisiga (kushoto) akimtoka beki wa Stand United, Reyna Mgungira.SIMBA SC Inaendelea kuchechemea licha ya majigambo mengi ya kuwa na kikosi bora msimu huu lakini mambo ni magumu dagaa kammeza paka ndiyo kilichotokea na Stand United ya Shinyanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hadi mapumziko, tayari timu hizo zilikuwa zimekwishafungana bao 1-1, Simba SC wakitangulia kupitia kwa Shaban Kisiga dakika ya 35 kabla ya Stand United kusawazisha dakika 10 baadaye.
Wafungaji ...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-aZf3InMwKow/VI8tm514dNI/AAAAAAAArNc/LpTM7MX-0TI/s72-c/a.espncdn.jpg)
9 years ago
VijimamboSTAND UNITED YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA SIMBA
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-CxpUFiO586Y/VIhVaxKIBiI/AAAAAAAArMY/AvE1SfFlS9Q/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Ot-zTVQwYNM/VRd4kgTsLiI/AAAAAAADd58/uk-P3sNRuTs/s72-c/49ab84e66ca4c1f3da558e1faa066a1d.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Bc8y1SjMhcQ/VVEc4KEJFvI/AAAAAAADmtA/skPA_-iEQ3Y/s72-c/11255786_10206667190668321_4069840413929546228_n.jpg)
10 years ago
Michuzisimba yatoka sare ya 1-1 na Stand United
MATOKEO YOTE YA LEO
SIMBA 1- STAND UNITED 1PILISI MORO 1- KAGERA...
9 years ago
TheCitizen02 Oct
Simba tactician optimistic after Stand United victory
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LYZrjK6etVdZHL33BXmV689MUtZ8mNGCbE5p2jv22GdOVoDSJ4-BP*I6RmgsK0w-LNzN-DXWjVjh9hwU0*dV7YfZSlxAIjHp/kisiganabekilastand.jpg?width=650)
SIMBA YABANWA MBAVU NA STAND UNITED, YATOKA 1-1