Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HII PANDE ZA WICHITA NDIYO HABARI YA MJINI JUMAMOSI HII KIROHO SAFI


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HABARI NDIYO HII JAMA KAAMUA KUJIKUBALI KIROHO SAFI

Hapo sasa kwani ukijikubali kiroho safi wala siyo tabu maana utakiwi kulazimisha vitu ambavyo siyo sahizi yako kiukweli jamaa kaamua kufunguka na kukifagilia kitoweo cha kitaa.

 

10 years ago

Vijimambo

NDIYO HABARI YA MJINI SASA KIROHO SAFI

Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.
Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMA ULIKUWA UJUHI HABARI NDIYO HII HUKO BONGO MJINI

 Shida ya foleni kati ya Airport na City Centre kuisha?? Cheki treni mpya hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 800-1000. Tutaiweza kweli?

 

10 years ago

Vijimambo

JITIRIRISHE NA HII KUTOKA KWA KIBA FOR REALLY KIROHO SAFI

Baada ya kutamba na wimbo wake wa “Mwana Dar Es Salaam” Msanii Mkali Wa Bongo Flaiva Alikiba Ameachia Wimbo Wake Mpya Leo Unaitwa "Chekecha Chekechua".

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani