Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JITIRIRISHE NA HII KUTOKA KWA KIBA FOR REALLY KIROHO SAFI

Baada ya kutamba na wimbo wake wa “Mwana Dar Es Salaam” Msanii Mkali Wa Bongo Flaiva Alikiba Ameachia Wimbo Wake Mpya Leo Unaitwa "Chekecha Chekechua".

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HII HAPA MAPENZI PESA DIAMOND NA NAY WA MITEGO JITIRIRISHE NA WEWE KIROHO SAFI

Ni kweli mapenzi pesa au ufundi? kama ufundi basi nenda veta


 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZA MTANANGE WA YANGA NA AZAM JITIRIRISHE CHINI KIROHO SAFI

Kikosi cha timu ya Azam FCKikosi cha timu ya Yanga.Wachezaji wa timu ya Azam FC wakishangilia goli yao la kwanza dhidi ya Yanga.
Mshambuliaji wa Yanga,Hamis Tambwe akiipatia timu yake bao la kusawazisha katika mtanange wa muendelezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam .Picha zote na Othman Michuzi.Mfungaji wa goli la kwanza kwa timu ya Yanga,Hamis Tambwe na Mfungaji wa Bao la pili,Simon Msuva wakishangia ushindi wao dhidi ya timu ya Azam katika...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA BBQ NEW YORK CITY JITIRIRISHE HAPA CHINI KIROHO SAFI


Mh. Balozi Tovako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York. Pamoja na Dr. Elmi Ahmed Duale wakiwa kwenye BBQ hiyo maeneo ya Roosevelt Island New York. BBQ hiyo iliandaliwa kwa ushirikiana na New York Tanzania Community na Ubalozi wa New York. Na watu mbali mbali na familia zao karibishwa ilikufurahia hali ya hewa na kubadirishana mawazo. 
Mh. Manongi akipata ukodak pamoja na mkufunzi wa Miss U.S.A mama  Winne kutoka DC na Kushoto kwa Balozi na Mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani