Simba yaenda Morogoro kuivaa Mtibwa Sugar kesho
>Simba imeondoka jana Dar es Salaam kuelekea mjini Morogoro tayari kwa pambano lake la Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMTIBWA SUGAR, SIMBA KUUMANA MOROGORO
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaingia raundi ya 16 kesho (Februari 5 mwaka huu) kwa mechi tano huku Mtibwa Sugar ikiikaribisha Simba kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kiingilio katika mechi hiyo ambayo itakuwa ya kwanza kuchezwa kwenye uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 10,000 tangu uanze mzunguko wa pili wa VPL kitakuwa sh. 5,000. Jonisia Rukyaa kutoka Bukoba ndiye atakayechezesha...
11 years ago
MichuziSIMBA YAVUTWA SHATI NA MTIBWA SUGAR,YATOKA SARE YA BAO 1-1 MJINI MOROGORO LEO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RqdQyZgpKtLbdRuogON3zhbayraVTof9p-J71AyQCfy3UbSpayVmkWYBk1cnbNHV94nB0ZubPYNclD85UChFLq5LI5w5-XE2/mkude.jpg)
Mkude asilimia 100 kuivaa Mtibwa Sugar
Kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude.
Na Wilbert Molandi
KIUNGO mkabaji wa yupo fiti asilimia 100 kuwavaa Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Mkude alikuwa nje ya uwanja kwa wiki moja akiuguza majeraha ya bega aliyoyapata kwenye mechi dhidi ya Yanga iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam iliyomalizika kwa suluhu. Akizungumza na Championi...
10 years ago
Vijimambo20 Sep
YANGA KUIVAA MTIBWA KESHO
![](http://www.youngafricans.co.tz/images/stories/slideshow/sl%204.jpg)
Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Tanzania bara timu ya Young Africans kesho watashuka dimbani kucheza mchezo wa ufunguzi wa VPL 2014/2015 dhidi ya timu ya wakata miwa wa Mtibwa Sugar kutoka manungu Turinani, mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Uwnaja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kikosi cha Young Africans kimewasili salama leo mchana mjini Morogoro kwa Bus la klabu na kufikia...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Mtibwa Sugar kambini kesho
TIMU ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani mkoani Morogoro, inatarajiwa kuingia kambini kesho kujiwinda na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtibwa ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa nafasi...
11 years ago
GPLSIMBA YATOKA SARE NA MTIBWA SUGAR
HATIMAYE ubishi wa timu ya Mtibwa na wekundu wa msimbazi Simba umemalizika leo hii uwanja wa taifa baada ya kuchoshana nguvu kwa kufungana sare ya 1-1. Matokeo hayo, yanaiongezea Simba na kufikisha pointi 31 kibindoni na kupanda nafasi ya tatu, sawa na Vinara Mbeya city wenye pointi 31. Mfungaji wa Simba ni Hamisi Tambwe dakika ya 50 kipindi cha pili na Mtibwa Sugar ni Hasani Mgosi dakika ya 40 kipindi cha kwanza. ...
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Simba SC, Mtibwa Sugar kiama leo
Ni fainali ya aina yake ya Kombe la Mapinduzi baina ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Mtibwa Sugar na Simba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania