Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA KUIVAA MTIBWA KESHO

Wachezaji wa Young Africans wakishangilia bao alilofunga Jaja katika mchezo dhidi ya timu ya Azam kwenye Ngao ya Jamii
Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Tanzania bara timu ya Young Africans kesho watashuka dimbani kucheza mchezo wa ufunguzi wa VPL 2014/2015 dhidi ya timu ya wakata miwa wa Mtibwa Sugar kutoka manungu Turinani, mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Uwnaja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kikosi cha Young Africans kimewasili salama leo mchana mjini Morogoro kwa Bus la klabu na kufikia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Simba yaenda Morogoro kuivaa Mtibwa Sugar kesho

>Simba imeondoka jana Dar es Salaam kuelekea mjini Morogoro tayari kwa pambano lake la Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

 

11 years ago

GPL

YANGA KAMILI KUIVAA AL AHLY KESHO

Kikosi cha Yanga. Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika Young Africans Sports Club leo  usiku wamefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa El Max Haras El Hodod jijini Alexandria tayari kwa mchezo marudiano kati ya mabingwa watetezi Al Ahly. Kikosi cha Young Africans kilichowasili mchana wa leo jijni Alexandria kikitokea jijini Cairo kimefanya mazoezi katika uwanja huo utakaotumika kwa...

 

10 years ago

GPL

YANGA KUIVAA AZAM UWANJA WA TAIFA KESHO JUMAPILI

Kikosi cha Young Africans Sports Club. Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara litafunguliwa kesho kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa Young Africans kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majia ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Young Africans ambayo imekua na rekodi ya kufanya vizuri katika michezo ya Ngao ya Jamii, itashuka dimbani kupambana na wana lambalamba Azam FC huku ikiwa na...

 

10 years ago

GPL

NANI MTANI JEMBE 2, YANGA KUIVAA SIMBA KESHO TAIFA

Mechi ya Nani Mtani Jembe namba 2 itafanyika kesho siku ya jumamosi katika dimba la Uwanja ambapo itawakutanisha Young Africans Sports Club dhidi ya Simba SC huku timu  zote zikitarajiwa kuwatumia wachezai wao wapya zilizowasajili katika kipindi cha dirisha dogo. Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo tayari kimeshawasajili wachezaji wawili kiungo Emerson de Oliveira kutoka nchini Brazil na mshambuliaji mkongwe na mzoefu wa hali ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Coastal kuivaa Mtibwa

Coastal Union “Wagosi wa Kaya” Jumapili watacheza  mchezo wa kirafiki dhidi ya  Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Mkwakwani.

 

10 years ago

GPL

Mkude asilimia 100 kuivaa Mtibwa Sugar

Kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude.
Na Wilbert Molandi
KIUNGO mkabaji wa  yupo fiti asilimia 100 kuwavaa Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Mkude alikuwa nje ya uwanja kwa wiki moja akiuguza majeraha ya bega aliyoyapata kwenye mechi dhidi ya Yanga iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam iliyomalizika kwa suluhu. Akizungumza na Championi...

 

10 years ago

Mwananchi

Coutinho, Jerry Tegete warejea kuivaa Mtibwa

Kiungo wa Yanga, Andrey Coutinho na mshambuliaji Jeryson Tegete wamerejea kwenye mazoezi ya timu hiyo inayojiandaa na mechi yao dhidi ya Mtibwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani