Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA KAMILI KUIVAA AL AHLY KESHO

Kikosi cha Yanga. Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika Young Africans Sports Club leo  usiku wamefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa El Max Haras El Hodod jijini Alexandria tayari kwa mchezo marudiano kati ya mabingwa watetezi Al Ahly. Kikosi cha Young Africans kilichowasili mchana wa leo jijni Alexandria kikitokea jijini Cairo kimefanya mazoezi katika uwanja huo utakaotumika kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Stars kamili kuivaa Benin kesho

Kikosi cha Taifa Stars. Na Omary Mdose
KIKOSI cha Taifa Stars, kipo katika hali nzuri kuelekea kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliopo kwenye Kalenda ya Fifa unaotarajiwa kupigwa kesho Jumapili katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Stars iliyoingia kambini Jumatatu ya wiki hii, itamkosa mshambuliaji wake anayekipiga kwenye Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, Mbwana Samatta kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya goti. Katika...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA KUIVAA MTIBWA KESHO

Wachezaji wa Young Africans wakishangilia bao alilofunga Jaja katika mchezo dhidi ya timu ya Azam kwenye Ngao ya Jamii
Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Tanzania bara timu ya Young Africans kesho watashuka dimbani kucheza mchezo wa ufunguzi wa VPL 2014/2015 dhidi ya timu ya wakata miwa wa Mtibwa Sugar kutoka manungu Turinani, mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Uwnaja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kikosi cha Young Africans kimewasili salama leo mchana mjini Morogoro kwa Bus la klabu na kufikia...

 

10 years ago

GPL

YANGA KUIVAA AZAM UWANJA WA TAIFA KESHO JUMAPILI

Kikosi cha Young Africans Sports Club. Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara litafunguliwa kesho kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa Young Africans kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majia ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Young Africans ambayo imekua na rekodi ya kufanya vizuri katika michezo ya Ngao ya Jamii, itashuka dimbani kupambana na wana lambalamba Azam FC huku ikiwa na...

 

10 years ago

GPL

NANI MTANI JEMBE 2, YANGA KUIVAA SIMBA KESHO TAIFA

Mechi ya Nani Mtani Jembe namba 2 itafanyika kesho siku ya jumamosi katika dimba la Uwanja ambapo itawakutanisha Young Africans Sports Club dhidi ya Simba SC huku timu  zote zikitarajiwa kuwatumia wachezai wao wapya zilizowasajili katika kipindi cha dirisha dogo. Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo tayari kimeshawasajili wachezaji wawili kiungo Emerson de Oliveira kutoka nchini Brazil na mshambuliaji mkongwe na mzoefu wa hali ya...

 

11 years ago

GPL

Caf wamruhusu Okwi kuivaa Al Ahly

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Hans Mloli na Khadija Mngwai
SHIRIKISHO la Soka Afrika (Caf), limemhalalisha mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi kuitumikia klabu yake hiyo rasmi kwenye michuano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuituma leseni yake nchini. Awali, leseni ya mchezaji huyo raia wa Uganda, ilizuiwa na shirikisho hilo lenye makao yake makuu nchini Misri kutokana na utata wa awali juu ya usajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani