Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars kamili kuivaa Benin kesho

Kikosi cha Taifa Stars. Na Omary Mdose
KIKOSI cha Taifa Stars, kipo katika hali nzuri kuelekea kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliopo kwenye Kalenda ya Fifa unaotarajiwa kupigwa kesho Jumapili katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Stars iliyoingia kambini Jumatatu ya wiki hii, itamkosa mshambuliaji wake anayekipiga kwenye Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, Mbwana Samatta kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya goti. Katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Benin yaanika wakali kuivaa Stars

WAKATI msafara wa timu ya soka ya taifa ya Benin ukitarajia kutua nchini kwa mafungu kuanzia leo, kocha wa timu hiyo, Olle Didier Nicolle ametaja nyota 18 watakaocheza mechi ya...

 

11 years ago

GPL

YANGA KAMILI KUIVAA AL AHLY KESHO

Kikosi cha Yanga. Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika Young Africans Sports Club leo  usiku wamefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa El Max Haras El Hodod jijini Alexandria tayari kwa mchezo marudiano kati ya mabingwa watetezi Al Ahly. Kikosi cha Young Africans kilichowasili mchana wa leo jijni Alexandria kikitokea jijini Cairo kimefanya mazoezi katika uwanja huo utakaotumika kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

STARS YAKAMILIKA KUIVAA MALAWI KESHO


Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Mkwasa amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Malawi kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018. 
Mkwasa amesema kikosi chake kipo kaika hali nzuri baada ya kufanya mazoezi ya mwisho leo asubuhi ambapo wachezaji wote wapo katika hali nzuri wakiwemo wachezaji wawili Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu kutoka klabu ya TP Mazembe ya Congo DR. 
“Tunatambua umuhimu...

 

9 years ago

Habarileo

Azam kamili kuivaa Simba

WACHEZAJI wa Azam FC wamesema mafunzo wanayopewa katika kambi yao ya Tanga yanatosha kuwamaliza wapinzani wao Simba Jumamosi wiki ijayo.

 

10 years ago

GPL

STARS YAICHAPA 4-1 BENIN

Thomas Ulimwengu akikwaana na beki wa Benin (jezi nyeupe).…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Stars yaizaba Benin 4-1

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, jana iliwapa raha wapenzi na mashabiki wa soka, baada ya kuitungua Benin mabao 4-1 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa Uwanja wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Stars yaifunza soka Benin

Vijana wa Taifa Stars wamemshusha pumzi kocha wa timu hiyo, Mart Nooij baada ya kuichapa Benin mabao 4-1 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yaivaa Benin

Timu yaTaifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’  itaikabili Benin katika mchezo wa kirafiki kimataifa  utakaofanyia leo saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

StarTV

Taifa Stars yaifumua Benin 4-1.

TAIFA Stars jana iliikung’uta Benin kwa mabao 4-1 katika mechi ya kimataifa ya kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambayo ilitanguliwa na mechi ya amani kati ya viongozi wa dini wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Mabao ya nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro,’ Amri Kiemba, Thomas Ulimwengu na Juma Luizio yalitosha kuizamisha Benin ‘Squirrels’ ambayo ilikuwa ikiongozwa na nahodha wake, mshambuliaji wa Wes Brom Albion ya England, Stephane Sessegnon. Bao lao lilifungwa na Suanon Fadel.

Stars...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani