Coastal kuivaa Mtibwa
Coastal Union “Wagosi wa Kaya†Jumapili watacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo20 Sep
YANGA KUIVAA MTIBWA KESHO
![](http://www.youngafricans.co.tz/images/stories/slideshow/sl%204.jpg)
Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Tanzania bara timu ya Young Africans kesho watashuka dimbani kucheza mchezo wa ufunguzi wa VPL 2014/2015 dhidi ya timu ya wakata miwa wa Mtibwa Sugar kutoka manungu Turinani, mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Uwnaja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kikosi cha Young Africans kimewasili salama leo mchana mjini Morogoro kwa Bus la klabu na kufikia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RqdQyZgpKtLbdRuogON3zhbayraVTof9p-J71AyQCfy3UbSpayVmkWYBk1cnbNHV94nB0ZubPYNclD85UChFLq5LI5w5-XE2/mkude.jpg)
Mkude asilimia 100 kuivaa Mtibwa Sugar
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Coutinho, Jerry Tegete warejea kuivaa Mtibwa
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Simba yaenda Morogoro kuivaa Mtibwa Sugar kesho
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Coastal Union kukabili Mtibwa Sugar J’mosi
TIMU ya Coastal Union ya Tanga ‘Wagosi wa Kaya’ Jumamosi wiki hii wanatarajia kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Mkwakwani kama sehemu ya kujiandaa na...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Mtibwa Sugar yarudi kileleni, Coastal Union yashikwa Tanga
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa
Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]
The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.