Tambwe, Maximo wakutana Dar
![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycPOzjeOLVX5NoyQkjgO4pVoBwLUrHXrAiGUpuVsoSa5i4DVs1*wQHt0gg7VK9ZDnyOn*F2X03AaLwCUMwPax3Ma/tambwe.jpg)
Straika Amissi Tambwe. Na Nicodemus Jonas SIMBA na Yanga wiki hii zinatarajia kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa Nani Mtani Jembe utakaopigwa Desemba 13, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa. Ikumbukwe Simba ndiyo wenye kombe hilo, ambalo walilitwaa msimu uliopita baada ya kuwanyuka wapinzani wao mabao 3-1, huku straika Amissi Tambwe akitupia mawili. Hata hivyo, wakati Kocha wa Yanga, Marcio Maximo akitarajia kutia guu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Tambwe asaini Yanga, Maximo nje
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Stand United wakutana na kipigo cha hat-trick ya Tambwe, cheki matokeo ya Ligi Kuu December 19 (+Pichaz)
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 19 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Tanzania. Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Dar Es Salaam Young African waliwakaribisha Stand United chama la wana kucheza mchezo wao wa 12 wa Ligi. Mchezo ulianza kwa Yanga kumiliki […]
The post Stand United wakutana na kipigo cha hat-trick ya Tambwe, cheki matokeo ya Ligi Kuu December 19 (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wXg2reH5q2K1PhyxUO4Xc3dgbtJRD5kctXQ*z-2h*HE9rErxi1F8QhfYwr0LkPAL2mcPzgx6qru3LGXbb75CzxI/breakingnews.gif)
MAXIMO ATUA DAR
11 years ago
GPLTambwe, Kaze kutua Dar kesho
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CpZYIG6XjRtynEMjmfWKJondLWjTv3cTHow3cMVP6WoSgmBV7pAD5qk6OIOX5rD0rQ-n1veDzkwStodDfkyy6qM/tambwe.jpg)
Tambwe,Kavumbagu waondoka Dar kimya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRniVnQN*rXSM4PkQddGo8807bBLmn8p7mzanHo8guNrqupCN5itTQDZEyjcFuZeTJWSWBs-*z8UmzkCAS3*iQPI/okwi.jpg)
Okwi, Kiiza wamfuata Maximo Dar
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8SBkmNifPLJip96jzA4Pw53THAJWnHqNqScNXpymMjjvL2bPIxgwl73V0j0EMUHRpq8yqPlflWR*dDVTDPs0kXS/MAXIMO.gif?width=650)
Straika Mbrazil, Maximo watua Dar
9 years ago
Mtanzania14 Nov
Maalim Seif na Lowassa wakutana Dar
Na Elias Msuya
MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana na aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chadema, Edward Lowassa, jijini Dar es Salaam jana na kusisitiza kuwa CUF haitarudia uchaguzi uliofutwa visiwani humo.Edward Lowassa
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam baada ya mkutano huo wa ndani, Maalim Seif alisema uchaguzi huo ulifutwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Jecha Salum Jecha binafsi.
“Msimamo...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Makatibu wa Bunge wa Madola wakutana Dar
NCHI wanachama wa Umoja wa Makatibu wa Bunge wa nchi za Jumuiya ya Madola Afrika, wamekutana jijini Dar es Salaam kubadilishana uzoefu wa namna ya uendeshaji wa mabunge yao. Akizungumzia...