Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Straika Mbrazil, Maximo watua Dar

Kocha Mkuu wa Yanga SC, Marcio Maximo amesani mkataba wa miaka miwili na anatua kesho. Na Walusanga Ndaki
UNAWEZA kusema ni kufuru, kwani tayari Yanga imefanikiwa kumsainisha Marcio Maximo mkataba wa miaka miwili na anatua nchi kesho saa saba 7:55 mchana tayari kuanza kazi. Maana yake kuanzia leo, hesabu saa 24 wakati Wabrazil hao watatu watakapotua Yanga ambayo inaweka rekodi mpya ya kuajiri Wabrazil watatu kwa wakati mmoja....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

TAKUKURU watua bandari Dar

Na Masyaga Matinyi, Dar es Salaam
TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) imeanzisha uchunguzi kubaini mianya ya rushwa na ukiukwaji wa taratibu katika mradi wa ujenzi wa mlango wa Bandari ya Dar es Salaam (Gerezani Creek).
Mradi huo ulisainiwa Septemba 6, 2014 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Joseph Msambichaka na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Madeni Kipande, ambaye amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yake.
Kipande alisimamishwa...

 

11 years ago

GPL

Al Ahly watua Dar na vyakula, maji

Na Mwandishi Wetu
WAPINZANI wa Yanga katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri wameonyesha wamepania kuhakikisha hawapotezi mchezo wa Jumamosi baada ya kutua nchini na maji na baadhi ya vyakula ambavyo watapikiwa wachezaji wao. Habari za uhakika kutoka Cairo, zimeeleza Ahly wamebeba chupa za maji, baadhi ya vyakula na kazi hiyo itafanywa na mpishi wao maalum raia wa Ujerumani ambaye amekuwa akisafiri na timu hiyo...

 

11 years ago

GPL

AL AHLY WATUA DAR WAWAFATA CANAVARO, DIDA

Nadir Haruob ‘Canavaro’. Na Sweetbert Lukonge
KWELI biashara ni matangazo, siku chache baada ya kuonyesha uwezo mzuri kwenye mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri, imefahamika kuwa ule mpango wa timu hiyo ya Misri kuwasajili Nadir Haruob ‘Canavaro’ na Deogratius Munishi ‘Dida’ wa Yanga, umeendelea kwa kasi.… ...

 

10 years ago

GPL

SIMBA SC WATUA JIJINI DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI

Kipa wa Simba SC, Manyika Peter akikabidhi Kombe la Mapinduzi kwa mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kuwasili kutoka Mjini Zanzibar leo. KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kilichotwaa Kombe la Mapinduzi jana usiku kwa kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 kimewasili jijini Dar leo kikitokea Mjini Zanzibar.

 

11 years ago

GPL

MAXIMO ATUA DAR

Kocha mpya wa Yanga SC, Marcio Maximo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.…

 

10 years ago

GPL

DK. MAGUFULI, SAMIA SULUHU WATUA DAR, WAPOKELEWA KWA SHANGWE

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiongea na wanahabari mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mchana huu wakitokea Dodoma na kupokelewa kwa shangwe na umati wa makada wa chama…

 

10 years ago

GPL

Tambwe, Maximo wakutana Dar

Straika Amissi Tambwe. Na Nicodemus Jonas
SIMBA na Yanga wiki hii zinatarajia kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa Nani Mtani Jembe utakaopigwa Desemba 13, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa. Ikumbukwe Simba ndiyo wenye kombe hilo, ambalo walilitwaa msimu uliopita baada ya kuwanyuka wapinzani wao mabao 3-1, huku straika Amissi Tambwe akitupia mawili. Hata hivyo, wakati Kocha wa Yanga, Marcio Maximo akitarajia kutia guu...

 

10 years ago

Vijimambo

INAFRIKA BAND WATUA DAR KUTOKEA KATIKA ZIARA NDEFU YA ULAYA


Bendi maarufu Inafrika band aka "Wazee wa Indege" wamewasili nchini leo wakitokea katika ziara ndefu barani ulaya,bendi hiyo maarufu katikaa mitindo yake ya muziki uliochanganyika na vionjo vya makabila ya Tanzania, ilikuwa kaatika ziara ya miezi mitatu ulaya.
msikose kuwasikiliza Inafrika Band (Wazee wa Indege) at http://www.inafrikaband.co.tz pia wape hi at info@inafrikaband.co.tz

 

11 years ago

GPL

Okwi, Kiiza wamfuata Maximo Dar

Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
WASHAMBULIAJI Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, wote wanatarajiwa kutua nchini ndani ya siku chache zijazo kuanza kazi na kocha mpya, Marcio Maximo, imefahamika. Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza uongozi wa klabu hiyo umeamua kuachana na suala la kuteua nani abaki kati ya Okwi au Kiiza, badala yake suala hilo ameachiwa Maximo.
“Kwa kuwa ameachiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani