AL AHLY WATUA DAR WAWAFATA CANAVARO, DIDA
![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqo4bJ*fnKqB8LvqQ4rpBGNUj9RDNYZFQuc-4WTYviHToRrcM-TL-vo1L8pdJAbp0qbYZZJb9s-OpeAis71*Nx2P/1.jpg?width=650)
Nadir Haruob ‘Canavaro’. Na Sweetbert Lukonge KWELI biashara ni matangazo, siku chache baada ya kuonyesha uwezo mzuri kwenye mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri, imefahamika kuwa ule mpango wa timu hiyo ya Misri kuwasajili Nadir Haruob ‘Canavaro’ na Deogratius Munishi ‘Dida’ wa Yanga, umeendelea kwa kasi.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GO1Rm-PT2pr6taG0dLwa2ZkuHQjb-Xpxm3xPZ6C8R7yCZTORoHi0pwlNrHc28rC5T-wvimUDBE8gngljkk4I*1bwCCAqq*pw/watua.jpg?width=650)
Al Ahly watua Dar na vyakula, maji
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Nadir, Dida waikubali Al-Ahly
10 years ago
Mtanzania16 Mar
TAKUKURU watua bandari Dar
Na Masyaga Matinyi, Dar es Salaam
TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) imeanzisha uchunguzi kubaini mianya ya rushwa na ukiukwaji wa taratibu katika mradi wa ujenzi wa mlango wa Bandari ya Dar es Salaam (Gerezani Creek).
Mradi huo ulisainiwa Septemba 6, 2014 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Joseph Msambichaka na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Madeni Kipande, ambaye amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yake.
Kipande alisimamishwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8SBkmNifPLJip96jzA4Pw53THAJWnHqNqScNXpymMjjvL2bPIxgwl73V0j0EMUHRpq8yqPlflWR*dDVTDPs0kXS/MAXIMO.gif?width=650)
Straika Mbrazil, Maximo watua Dar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTsmZfOvZR9tEX7WReKhRqXyDiQIrkA0LG1uIiBt99wL5DYLteQQCNUICX7*WcDk4bcHt7ECRNdbwlP-FiRnEr6e/simbanew.jpg?width=650)
SIMBA SC WATUA JIJINI DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI
11 years ago
GPL10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j*z2ryZ7D1wVhK8zClY3bs44j39CEOakRnMSnnqhLbJAy2hfaJ6jt*wmsXjXrYC-WDb0937OkPl-xKlGKTCXrRwQBmjKTwHM/MAGUFULI4.jpg?width=650)
DK. MAGUFULI, SAMIA SULUHU WATUA DAR, WAPOKELEWA KWA SHANGWE
9 years ago
Habarileo08 Dec
Canavaro kustaafu soka
NAHODHA na beki wa kati wa timu ya Taifa, Nadir Haroub au maarufu kama Canavaro amesema kuwa atastaafu kuichezea timu hiyo baada ya miaka mitatu, licha ya maneno kuwa kiwango chake kimeshuka au amezeeka.
10 years ago
VijimamboINAFRIKA BAND WATUA DAR KUTOKEA KATIKA ZIARA NDEFU YA ULAYA
Bendi maarufu Inafrika band aka "Wazee wa Indege" wamewasili nchini leo wakitokea katika ziara ndefu barani ulaya,bendi hiyo maarufu katikaa mitindo yake ya muziki uliochanganyika na vionjo vya makabila ya Tanzania, ilikuwa kaatika ziara ya miezi mitatu ulaya.
msikose kuwasikiliza Inafrika Band (Wazee wa Indege) at http://www.inafrikaband.co.tz pia wape hi at info@inafrikaband.co.tz