Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. MAGUFULI, SAMIA SULUHU WATUA DAR, WAPOKELEWA KWA SHANGWE

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiongea na wanahabari mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mchana huu wakitokea Dodoma na kupokelewa kwa shangwe na umati wa makada wa chama…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dkt John Pombe Magufuli na Mhe. Samia Suluhu Hassan watua Dar leo, wapokewa kwa shangwe

 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiongea na wanahabari mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mchana huu wakitokea Dodoma na kupokelewa kwa shangwe na umati wa makada wa CCM. 

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli na Mh. Suluhu wapokelewa kwa shangwe Zanzibar leo

Wananchi na Wafuasi wa chama cha Mapinduzi CCM wakiwapokea kwa shangwe Mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea mwenza Mh.Samia Suluhu Hassan mapema asubuhi hii mara baada ya kuwasili mjini Unguja -Zanzibar kujitambulisha kwa chama na Wananchi kwa ujumla.
PICHA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE.

 

11 years ago

Michuzi

mabingwa wa vodacom premier league 2014 AZAM FC WAPOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI DAR ES SALAAM



Mapokezi Azam Fc1 Basi lililowabeba wachezaji wa Azam. Baada ya kuweka rekodi mpya ya kutwaa taji la ligi ya mabingwa Tanzania bara, wanalambalamba wa Azam wametua leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere na kulakiwa kwa shangwe na mamia ya mashabiki na wapenzi wa timu hiyo. Azam wapokelewa uwanja wa ndege    Mapokezi Azam Fc2 Mapokezi Azam Fc

 

10 years ago

GPL

DKT MAGUFULI NA MH SULUHU WALIVYOPOKELEWA KWA SHANGWE ZANZIBAR JANA

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari la wazi pamoja na mgombea mwenza Mhe.Samia Suluhu Hassan kwenye mitaa ya Michenzani Zanzibar. Mhe. Magufuli aliwasili Zanzibar kwa lengo la kutambulishwa kwa wanachama wa CCM Zanzibar akiongozana na mgombea mwenza Mhe.Samia Suluhu Hassan ambapo wote kwa pamoja walipata kuwasalimia wananchi wa Zanzibar kwenye viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. ...

 

10 years ago

Mwananchi

Samia Suluhu mgombea mwenza wa Magufuli

>Mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amemteua Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza wa nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

9 years ago

Daily News | The National Newspaper (Press Release) (Blog)

Samia Suluhu Hassan, Perfect Magufuli aide


Samia Suluhu Hassan, Perfect Magufuli aide
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
DESPITE being a hardworking leader, driven by passion to lead the nation driven by integrity, development, and defined systems…the factors that gave Dr John Pombe Magufuli's recent victory into power was also accorded by his decision to nominate a ...

 

9 years ago

GPL

BI. SAMIA SULUHU AMNADI DK MAGUFULI, SERENGETI NA MWIBARA

Baadhi ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika Jimbo la Mwibara, Wilaya ya Bunda, jana. Sehemu ya wananchi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa CCM, Jimbo la Mwibara.…

 

9 years ago

StarTV

Samia Suluhu Hassan aanza kumnadi Magufuli Same

Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya kampeni za kumnadi Mgombea Urais kupitia CCM Dokta John Pombe Magufuli na kueleza Ilani ya Chama hicho.

Mkutano wa kwanza wa mgombea huyo mwenza umeanzia katika Kijiji cha Hedaru wilayani Same mkoani Kilimanjaro ambapo wakazi wa kijiji hicho wamemweleza mgombea huyo tatizo la maji linalowakabili.

Samia Suluhu Hassan ameanza kampeni zake kwa kutembelea Hospitali ya Hedaru na kuangalia changamoto kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani