Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Canavaro kustaafu soka

NAHODHA na beki wa kati wa timu ya Taifa, Nadir Haroub au maarufu kama Canavaro amesema kuwa atastaafu kuichezea timu hiyo baada ya miaka mitatu, licha ya maneno kuwa kiwango chake kimeshuka au amezeeka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Canavaro atangaza kustaafu soka

NAHODHA na beki wa kati wa timu ya Taifa Nadir Haroub ‘Canavaro’ amesema kuwa atastaafu kuichezea timu hiyo baada ya miaka mitatu licha ya maneno kuwa kiwango chake kimeshuka au amezeeka.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Canavaro kutaja lini atafikiria kustaafu soka, Abdi Kassim kataja mwaka kabisa !!! (+Audio)

Headlines za wanasoka wa kibongo kuulizwa kuhusu lini watastaafu kucheza soka zimekuwa zikiandikwa sana mitandaoni na hata kwenye vyombo vya habari, alianza kusikika nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na klabu ya Dar Es Salaam Young African Nadir Haroub Canavaro kuwa kacheza kwa muda mrefu, hivyo lini atastaafu? Canavaro kupitia gazeti la habari […]

The post Baada ya Canavaro kutaja lini atafikiria kustaafu soka, Abdi Kassim kataja mwaka kabisa !!! (+Audio) appeared first on...

 

9 years ago

Dewji Blog

Steven Gerrard kustaafu soka 2016

Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Wingereza na Liverpool anayekipiga kwa sasa katika klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, Steven Gerrard

Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Wingereza na Liverpool anayekipiga kwa sasa katika klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, Steven Gerrard.

Na Rabi Hume

Kiungo wa zamani wa timu taifa ya Uingereza na klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ameweka wazi mipango yake ya kustaafu kucheza soka mwaka 2016 baada ya kukamilika ligi kuu ya Marekani msimu wa mwaka 2016.

Gerrard, 35 amesema anadhani mwaka 2016 ni mwaka sahihi kwa yeye kupumzika kucheza soka na hatapenda mwaka wake wa mwisho kucheza...

 

10 years ago

Africanjam.Com

RIO FERDINAND ATANGAZA RASMI KUSTAAFU SOKA


Nahodha wa zamani wa England, Rio Ferdinand, ameamua kustaafu Soka.
Ferdinand, mwenye Miaka 36, alimpoteza Mkewe Rebecca aliezaa nae Watoto Watatu hapo Mei Mosi Mwaka huu baada kuugua kansa na kufariki.
Katika maisha yake ya Soka aliichezea Timu ya Taifa ya England mara 81 na pia kuwa Nahodha wake.
Kwenye Klabu, Ferdinand alizichezea West Ham, Leeds United, Man United na kumalizia Msimu huu akiwa QPR ambayo imeshushwa Daraja toka Ligi Kuu England.
Akiwa na Man United, Ferdinand alitwaa Ubingwa...

 

9 years ago

Bongo5

Djibril Cisse atangaza kustaafu soka huku machozi yakimtoka

Mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa ambaye alikuwa haishi vituko na aliyewahi kuichezea klabu ya Liverpool ya Uingereza, Djibril Cisse, October 20 amefanya maamuzi ambayo wanasoka wengi huyafanya wanapoona muda umefika. Cisse ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 34. Uamuzi wake wa kustaafu soka haukuwa rahisi kwani staa huyo aliutangaza huku machozi […]

 

9 years ago

MillardAyo

Kwa wanaofikiria Ivo Mapunda mzee, ukimuuliza kuhusu stori za kustaafu soka atakujibu hivi (+Audio)

Headlines za golikipa mkongwe ambaye amewahi kucheza katika vilabu vya Simba na Yanga pamoja na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Ivo Mapunda kuhusu suala la umri wake na lini atastaafu soka limeingia katika headlines kwa mara nyingine tena baada ya wengi kuona ameajili na Azam FC kwa mkataba wa muda mfupi, hivyo huenda […]

The post Kwa wanaofikiria Ivo Mapunda mzee, ukimuuliza kuhusu stori za kustaafu soka atakujibu hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Pamoja na kustaafu soka Rene Higuita bado ana uwezo wa kuokoa goli kwa style yake ya Scorpion kick (+Video)

Golikipa wa zamani wa kimataifa wa Colombia Rene Higuita ambaye amewahi kuingia katika headlines mwaka 1995 katika mechi ya kirafiki kati ya Colombia dhidi ya Uingereza kwa stahili yake ya kipekee ya uokoaji mipira kwa stahii ya “Scorpion kick” stahili ambayo hakuna kipa ambaye amewahi kuicheza kwa ufasaha na katika mechi muhimu. Kwa sasa golikipa huyo ambaye […]

The post Pamoja na kustaafu soka Rene Higuita bado ana uwezo wa kuokoa goli kwa style yake ya Scorpion kick (+Video) appeared...

 

11 years ago

GPL

AL AHLY WATUA DAR WAWAFATA CANAVARO, DIDA

Nadir Haruob ‘Canavaro’. Na Sweetbert Lukonge
KWELI biashara ni matangazo, siku chache baada ya kuonyesha uwezo mzuri kwenye mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri, imefahamika kuwa ule mpango wa timu hiyo ya Misri kuwasajili Nadir Haruob ‘Canavaro’ na Deogratius Munishi ‘Dida’ wa Yanga, umeendelea kwa kasi.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani