Djibril Cisse atangaza kustaafu soka huku machozi yakimtoka
Mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa ambaye alikuwa haishi vituko na aliyewahi kuichezea klabu ya Liverpool ya Uingereza, Djibril Cisse, October 20 amefanya maamuzi ambayo wanasoka wengi huyafanya wanapoona muda umefika. Cisse ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 34. Uamuzi wake wa kustaafu soka haukuwa rahisi kwani staa huyo aliutangaza huku machozi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo07 Dec
Canavaro atangaza kustaafu soka
NAHODHA na beki wa kati wa timu ya Taifa Nadir Haroub ‘Canavaro’ amesema kuwa atastaafu kuichezea timu hiyo baada ya miaka mitatu licha ya maneno kuwa kiwango chake kimeshuka au amezeeka.
10 years ago
Africanjam.Com
RIO FERDINAND ATANGAZA RASMI KUSTAAFU SOKA

Nahodha wa zamani wa England, Rio Ferdinand, ameamua kustaafu Soka.
Ferdinand, mwenye Miaka 36, alimpoteza Mkewe Rebecca aliezaa nae Watoto Watatu hapo Mei Mosi Mwaka huu baada kuugua kansa na kufariki.
Katika maisha yake ya Soka aliichezea Timu ya Taifa ya England mara 81 na pia kuwa Nahodha wake.

Akiwa na Man United, Ferdinand alitwaa Ubingwa...
11 years ago
BBCSwahili25 Jul
Jason Dunford atangaza kustaafu
10 years ago
Bongo528 Sep
Kenny Rogers atangaza kustaafu muziki
9 years ago
Bongo530 Nov
Kobe Bryant atangaza kustaafu kikapu

Mchezaji nyota wa kikapu nchini Marekani, Kobe Bryant ametangaza kuwa atastaafu baada ya kumalizika kwa msimu unaoendelea.
Akiwa na Lakers, Kobe ameisaidia kuchukua ubingwa mara tano.
Ametangaza taarifa hiyo kupitia barua aliyopa kichwa cha habari ‘Dear Basketball.’
“This season is all I have left to give. My heart can take the pounding. My mind can handle the grind but my body knows it’s time to say goodbye. And that’s OK. I’m ready to let you go,” imesomeka sehemu ya barua hiyo.
Katika...
9 years ago
Habarileo08 Dec
Canavaro kustaafu soka
NAHODHA na beki wa kati wa timu ya Taifa, Nadir Haroub au maarufu kama Canavaro amesema kuwa atastaafu kuichezea timu hiyo baada ya miaka mitatu, licha ya maneno kuwa kiwango chake kimeshuka au amezeeka.
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
Steven Gerrard kustaafu soka 2016
Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Wingereza na Liverpool anayekipiga kwa sasa katika klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, Steven Gerrard.
Na Rabi Hume
Kiungo wa zamani wa timu taifa ya Uingereza na klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ameweka wazi mipango yake ya kustaafu kucheza soka mwaka 2016 baada ya kukamilika ligi kuu ya Marekani msimu wa mwaka 2016.
Gerrard, 35 amesema anadhani mwaka 2016 ni mwaka sahihi kwa yeye kupumzika kucheza soka na hatapenda mwaka wake wa mwisho kucheza...
9 years ago
Bongo528 Dec
Don Jazzy atangaza kustaafu muziki mwaka 2016 kama msanii

Don Jazzy, producer na muimbaji kutoka Nigeria amesema kuwa mwaka 2016 ana mpango wa kuacha kuimba na kubaki kuwa producer.
Don Jazzy ambaye ni boss wa Mavin Records yenye wasanii kama Tiwa Savage, ametangaza uamuzi huo kupitia Twitter.
This artist work no easy jare. 2016 I'm retiring my artist side jor. #OneLagosFiesta for now sha.
— DON JAZZY (@DONJAZZY) December 27, 2015
Aliendelea kuthibitisha alichokimaanisha kama kweli anaacha kuimba baada ya shabiki mmoja kumuuliza kama yuko serious,...