Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INAFRIKA BAND WATUA DAR KUTOKEA KATIKA ZIARA NDEFU YA ULAYA


Bendi maarufu Inafrika band aka "Wazee wa Indege" wamewasili nchini leo wakitokea katika ziara ndefu barani ulaya,bendi hiyo maarufu katikaa mitindo yake ya muziki uliochanganyika na vionjo vya makabila ya Tanzania, ilikuwa kaatika ziara ya miezi mitatu ulaya.
msikose kuwasikiliza Inafrika Band (Wazee wa Indege) at http://www.inafrikaband.co.tz pia wape hi at info@inafrikaband.co.tz

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

INAFRIKA BAND KUTOKA DAR WATINGISHA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI

Inafrika Band aka Wazee wa Indege wakifunika bila ya huruma mjini Bremen,Ujerumani. Inafrika Band wakifanya kweli bremen,Ujerumani.…

 

10 years ago

Michuzi

INAFRIKA BAND KUTOKA DAR WATINGISHA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI, TANZANIAN FOLK MUSIC MADE IN BONGO TO THE WORLD YAKUBALIKA KIMATAIFA!

Bendi ya muziki INAFRIKA BAND aka "Wazee wa Indege" kutoka jiji Dar es salaam, imelitingisha jiji la Bremen, nchini Ujerumani katika onyesho liliofanyika usiku wa 13 Februari 2015 katika ukumbi mkubwa wa Musik-Theater mjini humo. Bendi hiyo kutoka Chang'ombe ilisimama jukwaani na kuziteka nyoyo za maelfu ya wapenzi wa muziki kiasi cha kutajwa kuwa bendi bora ya muziki wa Folk na radio Funkhaus-Europe kutokana na vionjo vya mitindo ya muziki wa asili wa makabila ya Kitanzania vilivyotumiwa na...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua.

Bibi Judith Sargentini Mbunge wa Bunge la ummoja wa Ulaya Friday, September 25, 2015 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kazi ya waangalizi wa muda mrefu itairuhusu EU EOM kufanya tathmini ya kina ya mchakato wa […]

The post Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua. appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuna safari ndefu katika kuchochea mabadiliko, kuleta usawa wa kijinsia

Kwanza niwape pongezi wanawake wote duniani kwa kuadhimisha siku yao.Pili napenda nitumie nafasi hii kuangalia hali ya wanawake tabaan katika maeneo mbalimbali duniani.

 

11 years ago

GPL

TWANGA PEPETA WAKIWASHA MOTO KATIKA UZINDUZI WA YAMOTO BAND NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU

Msafiri Diouf 'Lewandowsky' wa Twanga Pepeta akifanya vitu vyake jukwaani kwenye uzinduzi wa Yamoto Band ndani ya Dar Live usiku huu.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band na Bodaboda Band ya Kidumu yatikisa jiji la Dar Escape One

DSC_0311

Skylight Band wakikamua jukwaani..Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba na Sam Mapenzi  kwenye show maalum ya uzinduzi wa Video yao mpya ya “Kariakoo” uliosoindikizwa na Bodaboda Band ya msanii Kidumu kutoka jijini Nairobi uliofanyika kwenye kiota cha Escape One.

DSC_0308

DSC_0230

Mrembo Neema Mbuya alikuwepo kuwahudumia wageni 100 wa kwanza na Tequila shots.

DSC_0341

wageni wakihudumiwa Tequila shots!

DSC_0368

Divas wa Skylight Band wakiongozwa na Aneth Kushaba AK47 kutoa burudani kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Sauti Sol, Skylight Band na Yamoto Band wapagawisha wakazi wa Dar BEAUTY and MUSIC Night!

DSC_0437

Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking’ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.

DSC_0429

Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.

DSC_0424

Mwanadada mrembo akishow love mbele ya camera yetu.

DSC_0427

Petit Man Wakuache aking’ara kwenye Red Carpet.

DSC_0434

 Mirror na msanii mwenzake Jordan wakishow love...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani