Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe,Kavumbagu waondoka Dar kimya

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe, Na Mwandishi Wetu
MSHAMBULIAJI wa Simba, Amissi Tambwe, ambaye ni mfungaji bora wa msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara, amepanga kuondoka nchini leo Jumatatu kimyakimya kwenda jijini Nairobi nchini Kenya. Tambwe anakwenda katika kikosi cha timu yake ya taifa ya Burundi akiongozana na mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbagu.Burundi imealikwa kuivaa Kenya katika mechi ya kirafiki jijini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kavumbagu, Tambwe wana kazi

Mombasa. Kukosekana kwenye michuano ya Chalenji na Chan huenda kukawagharimu mastraika Didier Kavumbagu wa Yanga na Amissi Tambwe wa Simba

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu abariki ufungaji bora kwa Tambwe

Didier Kavumbagu. Na Hans Mloli
STRAIKA wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Didier Kavumbagu, ameikubali kasi ya mabao ya Mrundi mwenzake anayekipiga Simba, Amissi Tambwe na kukiri kuwa msimu huu mshambuliaji huyo atatwaa kiatu cha ufungaji bora wa ligi. Tambwe amefikisha jumla ya mabao 17 akiwa ndiye kinara huku akiwa tayari ameshaifikia idadi ya mfungaji bora wa msimu uliopita, mchezaji kutoka Ivory Coast, Kipre Tchetche wa Azam...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kuficha Ujauzito, Snura Adaiwa Kufunga Ndoa Kimya Kimya

Staa wa Bongo Fleva alieanzia uigizaji, Snura Mushi amedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchumba wake wa siku nyingi ambaye pia ni mzazi mwenziye,DJ maarufu mjini Mbeya,Hunter.

Habari zinasema kuwa katika sherehe ya ndoa hiyo walialikwa watu wachache kutoka kwenye pande mbili za familia ya wanandoa hao na ilifungwa kwa siri jijini Dar.

Kupitia U heard na Soudy Brown amezungumza na Snura ambaye amekana kufunga ndoa,lakini alipoulizwa kama aliweza kuficha mimba hadi alipojifungua je? Hawezi...

 

9 years ago

Bongo5

Usher afunga ndoa kimya kimya na meneja wake Grace Miguel

Usher Raymond amerudisha tena title yake ya kuwa mume wa mtu, baada ya kufunga ndoa na girlfriend wake wa muda mrefu Grace Miguel, ambaye pia ni meneja wake. Tetesi za Usher kufunga ndoa zilianza baada ya kuonekana akiwa amevaa pete ya ndoa ya dhahabu alipokuwa vacation huko Havana, Cuba, na baadae E! Online walithibitisha uvumi […]

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIYO YANGA NA MBIO ZA KUUSAKA UBIGWA KIMYA KIMYA TU UNAISOMA

Yanga imerejea kileleni Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Prisons ya Mbeya kwa mabao 3-0.Ushindi huo umeifanya Yanga kufikisha pointi 48 dhidi ya Azam FC yenye 46 ambayo imelazimishwa sare ya bila mabao dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani.Yanga imebuka na ushindi huo mnono kwenye Uwanja wa ugenini wa Sokoine jijini Mbeya ikiwa ni baada ya viungo wake Simon Msuva na Andrey Coutinho kufunga.Msuva amepachika mabao mawili, huku Coutinho na kukamilisha idadi ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Kerr aibuka Tanga, aisoma African Sports kimya kimya

dylanker-haiphongOSCAR ASSENGA, TANGA NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, juzi ametumia muda wa dakika 90 kukisoma kikosi cha timu ya African Sports “Wanakimanumanu”, wakati ikicheza mchezo wa kirafiki na Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani.

Kocha huyo alitua Tanga kimya kimya ili kuweza kukijua vizuri kikosi cha ‘Wana kimanumanu’, kabla hawajakutana kwenye ufunguzi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Septemba 12, mwaka huu.

Mchezo huo wa kirafiki ulimalizika kwa Coastal Union...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Kanye West aachia nyimbo 2 mpya kimya kimya – When I See I & Say You Will

Wakati mashabiki wakisubiri kwa hamu album yake mpya ‘Swish’, rapper Kanye West ameachia nyimbo mbili mpya kimya kimya kupitia akaunti yake ya SoundCloud. Wimbo wa kwanza kati ya hizo mbili ni remix ya mwimbaji wa Canada, Abel Tesfay a.k.a Weeknd “Tell Your Friends,” ambayo Kanye ameiita “When I See It.” Kwenye wimbo huu ameimba kwa […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ugonjwa wa mifupa unaoshambulia kimya kimya

ANNA  mwenye umri wa miaka 19, aliendelea  kupata nafuu  kutokana  na ugonjwa wa kujinyima chakula, alianguka gafla  kutokana na maumivu makali ya mgongo. Alivunjika  mifupa miwili ya mgongo, hivyo kimo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani