Kocha Maximo aibeza Simba Mtani Jembe
KOCHA Mkuu wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, Marcio Maximo, amewabeza mahasimu wao wa soka nchini Simba kwa kusema pambano la Nani Mtani Jembe alimuumizi kichwa na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Kocha Mserbia: Popadic, Mtani Jembe zimenileta Simba
Kocha wa viungo wa Simba, Dusan Momcilovic amesema amejiunga na timu hiyo baada ya kushawishiwa na kocha Dragan Popadic pamoja na kuitazama mechi ya Nani Mtani Jembe.
10 years ago
VijimamboSIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE
![](http://2.bp.blogspot.com/-zc3yk_i8aEQ/VIxCRc87vwI/AAAAAAAAZUI/4nVjtHY24O0/s1600/454955_heroa.jpg)
Goli la pili la Simba limeweka wavuna na Elius Maguli na kuifanya Yanga kuzidi kutweta huku Simba wakizidi kuliandama lango la Yanga.
Mchezo huo wa kuania kombe la Nani Mtani Jembe 2014 bado unaendelea Uwanja wa Taifa jijini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xMCtlOLhuRdnSDpwvfpW-sX0WYKUOmLig7gTSsyyHCv2lEVQLFodftVXBZzfSfwmRZ1w9UakjyjhDrUZeRRUT9FOp*IP48Ps/simbaaa.jpg?width=640)
LIVE MECHI YA MTANI JEMBE: SIMBA 2 - 0 YANGA
Simba line up: Ivo Mapunda, Haruna Shamte, Issa Rashid, Joseph Owino, Donald Musoti, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Henry Joseph, Amisi Tambwe, Said Hamis na Awadh Juma. Yanga line up: Juma Kaseja - 29,Mbuyu Twite - 6 ,David Luhende - 3,Nadir Haroub "Cannavaro" - 23(C),Kelvin Yondani "Cotton" - 5, Athuman Idd " Chuji" - 24, Mrisho Ngassa - 17, Frank Domayo - 18, Didier Kavumbagu - 7, Hamis Kiiza - 20, Haruna Niyonzima - 8
...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PM1Rh7PyfXw/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-hfjTr5iVads/VIxPUJbFAxI/AAAAAAACUQY/yfBp7SauJqg/s72-c/02.jpg)
MPIRA UKWISHA SIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE
![](http://api.ning.com/files/VNXpMB91slfaosjdzdQXHdn5R9Yis5Fm9RkHiFG9fvzffRvX-tEVSrzUPBhii2c*jezWxjvIQjcVL5tAWhE4qbblUawRDvc8/mtanijembe.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hfjTr5iVads/VIxPUJbFAxI/AAAAAAACUQY/yfBp7SauJqg/s640/02.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-IKMx2WqnBcw/VIxPZUhiqsI/AAAAAAACUQo/KVRBWirmDHs/s640/01.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-x5CZ_BUu0io/VIxPXjF7mhI/AAAAAAACUQg/bQvAVL06D48/s640/03.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-cRMcw7Nv0OE/VIxPa6JFppI/AAAAAAACUQw/EF_Xdw3jRpA/s640/04.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-g017uWM0tBc/VQ61KO3TFRI/AAAAAAAHMKU/4dNACVxj2-I/s72-c/unnamed%2B(45).jpg)
Simba yaifunga ya 5-4 katika mechi ya nani mtani jembe dubai
Kikosi cha Simba kimetoka kidedea kwa bao 5-4 kwenye match ya watani wa jadi Yanga katika mechi ya Nani Mtani Jembe huko Dubai.Mpambano huo uliokuwa mkali sana ulianza kwa Yanga kupata penalty 2 kwa mpigi lakini moja iliokolewa na goal keeper na nahodha wa Simba Ali Yusuf. Magoli ya Simba yalifungwa na Matama Chesama (DJ Tama) 3, Tariq Mbarak 1,na Thani 1.magoli ya Yanga yalifungwa Yunus 2, Waleed 1, na Kulwa 1.Yanga imeendelea kuwa mteja wa Simba Sports club hadi huko Dubai.
Kikosi cha...
![](http://2.bp.blogspot.com/-g017uWM0tBc/VQ61KO3TFRI/AAAAAAAHMKU/4dNACVxj2-I/s1600/unnamed%2B(45).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/U4XRt1fB2HU/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slfaosjdzdQXHdn5R9Yis5Fm9RkHiFG9fvzffRvX-tEVSrzUPBhii2c*jezWxjvIQjcVL5tAWhE4qbblUawRDvc8/mtanijembe.jpg?width=650)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slfaosjdzdQXHdn5R9Yis5Fm9RkHiFG9fvzffRvX-tEVSrzUPBhii2c*jezWxjvIQjcVL5tAWhE4qbblUawRDvc8/mtanijembe.jpg?width=650)
NANI MTANI JEMBE 2, YANGA KUIVAA SIMBA KESHO TAIFA
Mechi ya Nani Mtani Jembe namba 2 itafanyika kesho siku ya jumamosi katika dimba la Uwanja ambapo itawakutanisha Young Africans Sports Club dhidi ya Simba SC huku timu zote zikitarajiwa kuwatumia wachezai wao wapya zilizowasajili katika kipindi cha dirisha dogo. Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo tayari kimeshawasajili wachezaji wawili kiungo Emerson de Oliveira kutoka nchini Brazil na mshambuliaji mkongwe na mzoefu wa hali ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania