Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKWASA, PONDAMALI, KUINOA YANGA

Uongozi wa Young Africans SC umepata warithi wa nafasi tatu za benchi la ufundi (Charles Boniface Mkwasa, Juma Pondamali na Dr. Suphian Juma), huku wakiendelea na mchakato kumpata kocha mkuu ambaye atachukua nafasi ya mholanzi Ernie Brandts aliyesitishiwa mkataba wake mwishoni mwa mwaka 2013. Charles Boniface Mkwasa 'Master' aliyekua kocha mkuu wa timu ya Ruvu Shooting katika mzunguko wa kwanza anachukua nafasi ya aliyekua kocha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MKWASA, PONDAMALI WAANZA KAZI RASMI YANGA

Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa akiwaongoza wachezaji wake katika mazoezi leo. Yanga wakiendelea na mazoezi chini ya Mkwasa katika Uwanja wa Bora uliopo Mabatini-Kijitonyama jijini Dar…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkwasa, Juma Pondamali kuanza kibarua Yanga leo

BAADA ya jana Yanga kushindwa kufanya mazoezi kutokana na kukosa makocha wa kuwafundisha wachezaji, leo kikosi hicho kinatarajia kuanza rasmi mazoezi chini ya Kocha Charles Boniface Mkwasa na Juma Pondamali...

 

10 years ago

Michuzi

MKWASA KUINOA STARS, NOOIJ AWAAGA WATANZANIA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania - TFF, Jamal Malinzi leo ameagana rasmi na aliyekua kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, mholanzi Mart Nooij.
Akiongea na waandishi wa habari leo katika hoteli ya Tansoma, Malinzi amesema wameamua kuagana nae mbele ya vyombo ya habari kama iliyofanyika pia wakati wa utambulisho wake wakati wa kuanza kazi.
“Mpira wa miguu unachangamoto nyingi, watanzania tunasafari ndefu katika...

 

9 years ago

Bongo5

Mkwasa apewa mkataba rasmi kuinoa Taifa Stars

TFF imefikia makubaliano na kocha Charles Boniface Mkwasa ya kumpa mkataba rasmi baada ya kuridhika na utendaji wake katika kukinoa kikosi cha timu ya Taifa Stars. Mkwasa amepata mkataba wa kuifundisha timu hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu na kumalizika Machi 31, 2017. Baada ya kusaini mkataba huo, […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pondamali hataki ushikaji Yanga

KOCHA wa makipa wa klabu ya Yanga, Juma Pondamali, amesema urafiki wa karibu wa makocha waliopita na wachezaji ndiyo sababu ya timu hiyo kufanya vibaya katika michezo yake. Pondamali, kocha...

 

9 years ago

Habarileo

Viwango makipa Yanga vyamkuna Pondamali

KOCHA wa makipa wa Yanga Juma Pondamali amesema kwamba kipa Deogratius Munishi ’Dida’ yuko kwenye kiwango sawa na kipa Ally Mustapha ’Barthez’ na yeyote anaweza kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nsajigwa kuinoa Yanga Kagame

KLABU ya Yanga imewateua Kocha Msaidizi, Mbrazil Leonardo Neiva na beki wa zamani wa timu hiyo na Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa ambaye ni kocha wa timu B kusafiri na kikosi...

 

11 years ago

GPL

Kocha Mbelgiji ajitolea kuinoa Yanga

Kocha Luc Eymael raia wa Ubelgiji. Na Hans Mloli
SAA chache baada ya kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm kuweka wazi kwamba hataendelea kuinoa timu hiyo msimu ujao, tayari Kocha Luc Eymael raia wa Ubelgiji ametangaza kuwa yupo tayari kuchukua mikoba ya Mholanzi huyo. Pluijm amemaliza mkataba wake wa miezi sita na jana alitangaza kutimkia Saudi Arabia alikopata ofa nzuri zaidi kuinoa Al Shoala SC inayoshiriki ligi kuu...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAMGOMEA KOCHA WAKE KUINOA STARS

Kocha msaidi wa klabu ya Yanga Charles Boniface Mkwassa. Na Phillip Nkini KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imewekewa ngumu na Klabu ya Yanga, baada ya Wanajangwani hao kumgomea kocha wao kuifundisha Taifa Stars. Juzi kamati hiyo ilimtimua aliyekuwa Kocha Mkuu wa Stars, Mart Nooij, baada ya kulala kwa mabao 3-0 kutoka kwa timu ya taifa ya Uganda kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ndani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani