Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKWASA KUINOA STARS, NOOIJ AWAAGA WATANZANIA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania - TFF, Jamal Malinzi leo ameagana rasmi na aliyekua kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, mholanzi Mart Nooij.
Akiongea na waandishi wa habari leo katika hoteli ya Tansoma, Malinzi amesema wameamua kuagana nae mbele ya vyombo ya habari kama iliyofanyika pia wakati wa utambulisho wake wakati wa kuanza kazi.
“Mpira wa miguu unachangamoto nyingi, watanzania tunasafari ndefu katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

CHARLES BONIFACE MKWASA ATANGAZWA KUWA KOCHA MPYA STARS NA NOOIJ AWAGA WATANZANIA

 Rais wa TFF Jamal Malinzi akizungumza na waandishi wa habari wakati akimtangaza kocha mpya wa Stars, Charles Boniface Mkwasa. (Picha na Francis Dande) Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mart Nooij akizungumza na waandishi wa habari baada ya kibarua chake kuota mbawa.
 Rais wa TFF akitangaza kocha mpya wa taifa stars, Charles Boniface Mkwasa. Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mart Nooij akitafakari jambo wakati malinzi akitangaza nafasi yake kuchukuliwa na kocha...

 

9 years ago

Bongo5

Mkwasa apewa mkataba rasmi kuinoa Taifa Stars

TFF imefikia makubaliano na kocha Charles Boniface Mkwasa ya kumpa mkataba rasmi baada ya kuridhika na utendaji wake katika kukinoa kikosi cha timu ya Taifa Stars. Mkwasa amepata mkataba wa kuifundisha timu hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu na kumalizika Machi 31, 2017. Baada ya kusaini mkataba huo, […]

 

11 years ago

GPL

MKWASA, PONDAMALI, KUINOA YANGA

Uongozi wa Young Africans SC umepata warithi wa nafasi tatu za benchi la ufundi (Charles Boniface Mkwasa, Juma Pondamali na Dr. Suphian Juma), huku wakiendelea na mchakato kumpata kocha mkuu ambaye atachukua nafasi ya mholanzi Ernie Brandts aliyesitishiwa mkataba wake mwishoni mwa mwaka 2013. Charles Boniface Mkwasa 'Master' aliyekua kocha mkuu wa timu ya Ruvu Shooting katika mzunguko wa kwanza anachukua nafasi ya aliyekua kocha...

 

9 years ago

Michuzi

KOCHA KIBADENI KUANZA KUINOA KILIMANJARO STARS

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limemteua Abdallah Kibadeni kuwa kocha mkuu wa timu wa Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Star’ akisaidiwa na Juma Mgunda kuelekea katika michuano ya CECAFA Chelenji itakayoanza kutimua vumbi Novemba 21 mjii Addis Ababa, Ethiopia.
Kilimanjaro Stars inashiriki michuano hiyo mikongwe kabisa barani Afrika, ambapo jumla ya nchi 12 wanachama wamedhibitisha kushiriki michuano hiyo itakayomalizika Disemba 6 mwaka huu.
Nchi zingine zinazoshiriki michuano hiyo...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAMGOMEA KOCHA WAKE KUINOA STARS

Kocha msaidi wa klabu ya Yanga Charles Boniface Mkwassa. Na Phillip Nkini KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imewekewa ngumu na Klabu ya Yanga, baada ya Wanajangwani hao kumgomea kocha wao kuifundisha Taifa Stars. Juzi kamati hiyo ilimtimua aliyekuwa Kocha Mkuu wa Stars, Mart Nooij, baada ya kulala kwa mabao 3-0 kutoka kwa timu ya taifa ya Uganda kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ndani...

 

11 years ago

Michuzi

MHOLANZI AKABIDHIWA MIKOBA YA KUINOA TAIFA STARS

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza rasmi Mart Nooij kutoka Uholanzi kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya Taifa (Taifa Stars).
Rais wa TFF, Jamal Malinzi amemtambulisha kocha huyo leo (Aprili 26 mwaka huu) kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Akiwa amefuatana na Makamu wake Wallace Karia, amesema anafurahi kumtangaza Nooij na ana matarajio kuwa Tanzania itanufaika na uzoefu wake mkubwa wa ukocha, hasa katika bara la...

 

10 years ago

Vijimambo

NYAMBUI AWAAGA WATANZANIA AKISONONEKA

 Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui (kushoto) akikabidhiwa suti ya michezo yenye bendera ya Tanzania kutoka Meneja Mauzo wa Kampuni ya Isere Sports, Abbas Ally atakazozitumia wakati akifundisha riadha nchini Bunei barani Asia ambako amepata mkataba wa kufundisha riadha kwa miaka miwili. (Picha na Peter Mwenda).
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Isere Sports,Abbas Ally akimkabidhi zawadi ya suti Katibu Mkuu wa zanmani wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT),...

 

11 years ago

Mwananchi

Nooij kuipeleka Stars AFCON

Kocha mpya wa Taifa Stars, Martinus Ignatinus ‘Mart’ Nooij raia wa Uholanzi amesema kazi yake kubwa atakayoanza nayo ni kuhakikisha Stars inafuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika 2015 pamoja mashindano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) 2016.

 

11 years ago

Mwananchi

Nooij aita tisa Stars

>Baada ya kuishudia Taifa Stars ikicheza kiwango kibovu na kunyukwa 3-0 na Burundi Jumamosi kocha mpya wa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi itakayochezwa Mei 4, kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani