Michuano ya Kagame kuifunza Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Der Pluijm, amesema atatumia michuano ya Kombe la Kagame kujifunza mbinu za kukisaidia kikosi chake katika michuano ya kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika na siyo usajili.
Michuano ya Kagame inatarajiwa kufanyika hapa jijini Dar es Salaam Julai mwaka huu, kwa kushirikisha mabingwa wa klabu ambao ni wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).
Akizungumza na MTANZANIA jana akiwa nchini Ghana kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Z5-8fcFduXY/VaO7Z5BjJ_I/AAAAAAAHpWo/7ie6X0eHtfk/s72-c/logo.png)
MICHUANO YA KAGAME KUANZA JUMAMOSI
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z5-8fcFduXY/VaO7Z5BjJ_I/AAAAAAAHpWo/7ie6X0eHtfk/s1600/logo.png)
Mashindano ya CECAFA Kagame Cup ni mashindano makongwe barani Afrika ambayo yalianza mwaka 1967 kwa kushirikisha timu za ukanda wa Afrika...
10 years ago
Raia Mwema05 Aug
Michuano ya Kagame imekosa ubunifu
PAZIA la michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati Kagame Cup, lilifungwa mwishoni mwa wi
Mwandishi Wetu
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yBO7M96AQ3w/VaekhdIVhEI/AAAAAAAHqGQ/ELusmWgiuUU/s72-c/tff_LOGO1.jpg)
HOMA YA MICHUANO YA KAGAME YAZIDI KUPAMBA MOTO
![](http://3.bp.blogspot.com/-yBO7M96AQ3w/VaekhdIVhEI/AAAAAAAHqGQ/ELusmWgiuUU/s400/tff_LOGO1.jpg)
APR ya Rwanda tayari imeshawasili jijjini Dar es salaam, pamoja na timu za Al Shandy ya Sudan, KMKM ya Visiwani Znzibar, huku timu za Al Malakia ya Sudan Kusini na mabingwa mara tano wa michuano hiyo Gor Mahia wakitarajiwa kuwasili leo saa saa 10 jioni kwa ndege ya Kenya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1nHQ1SyBe18/VawjLe3jlGI/AAAAAAAHqlY/jePQgTtXg4s/s72-c/1.jpg)
MICHUANO YA KAGAME CUP YAZIDI KUPAMBA MOTO
![](http://1.bp.blogspot.com/-1nHQ1SyBe18/VawjLe3jlGI/AAAAAAAHqlY/jePQgTtXg4s/s640/1.jpg)
Al Shandy Kagame Cup 2015.
Picha na Bin ZubeiryMichuano ya Kombe la Kagame inayoendelea kutimua vumbi katika viwanja viwili vya Taifa na Karume vilivyopo jijini Dar es salaam, itaendelea kesho kwa michezo miwili itayopigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa.
Katika michezo iliyochezwa leo, Malakia ya Sudani Kusini iliibuka na ushindi wa mabao 2- 1 dhidi ya Adama City ya Ethiopia, LLB ya Burundi ikitoka sare ya bila kufungana na Heegan FC ya Somalia mchezo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-KuL1hinl0lY/VbECXj5FCAI/AAAAAAABeEQ/scX5VIksls8/s72-c/Picha%2Bya%2BPg.24%2BJulai%2B24.jpg)
MICHUANO YA KAGAME, APR YAICHAPA LLBA FC YA BURUNDI 2-1
![](http://4.bp.blogspot.com/-KuL1hinl0lY/VbECXj5FCAI/AAAAAAABeEQ/scX5VIksls8/s640/Picha%2Bya%2BPg.24%2BJulai%2B24.jpg)
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Azam, Yanga, kuelekea michuano ya CAF
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
Yanga yasonga mbele michuano ya Afrika
11 years ago
Mtanzania06 Aug
CECAFA yaiondoa Yanga Kagame
![Marcio Maximo](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Marcio-Maximo1.jpg)
Kocha mpya wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Marcio Maximo
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limeiondoa timu ya Yanga kwenye michuano ya Kombe la Kagame, kutokana na kupeleka kikosi cha timu ya vijana, jambo ambalo ni kinyume na kanuni, hivyo imeiteua Azam FC kuchukua nafasi yake.
Katika michuano hiyo iliyoepangwa kuanza Jumamosi hadi Agosti 23, jijini Kigali, Rwanda na Yanga ilipangwa kufungua pazia kwa kucheza dhidi ya wenyeji...