Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MICHUANO YA KAGAME CUP YAZIDI KUPAMBA MOTO

Mechi kati ya APR ya Rwanda na
Al Shandy Kagame Cup 2015.
Picha na Bin ZubeiryMichuano ya Kombe la Kagame inayoendelea kutimua vumbi katika viwanja viwili vya Taifa na Karume vilivyopo jijini Dar es salaam, itaendelea kesho kwa michezo miwili itayopigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa.
Katika michezo iliyochezwa leo, Malakia ya Sudani Kusini iliibuka na ushindi wa mabao 2- 1 dhidi ya Adama City ya Ethiopia, LLB ya Burundi ikitoka sare ya bila kufungana na  Heegan FC ya Somalia mchezo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HOMA YA MICHUANO YA KAGAME YAZIDI KUPAMBA MOTO

Homa ya michuano ya Kagame inazidi kupamba moto kufuatia vilabu mbalimbali zinazoshirki michuano hiyo kuanza kuwasili jijini Dar es salaam zikiwa na vikosi vyao kamili kwa lengo la kusaka Ubingwa wa michuano hiyo.
APR ya Rwanda tayari imeshawasili jijjini Dar es salaam, pamoja na timu za Al Shandy ya Sudan, KMKM ya Visiwani Znzibar, huku timu za Al Malakia ya Sudan Kusini na mabingwa mara tano wa michuano hiyo Gor Mahia wakitarajiwa kuwasili leo saa saa 10 jioni kwa ndege ya Kenya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ligi Kuu England yazidi kupamba moto

Timu za Chelsea, Arsenal, Manchester City, Liverpool na Manchester United zapata ushindi mwishoni mwa wiki

 

10 years ago

Vijimambo

PAZI REUNION MAMBO YAZIDI KUPAMBA MOTO HOUSTON, TEXAS


 Watatu toka kushoto ni Richard Kasesela alipokua akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa George  Bush Intercontinental uliopo Houston, Texas nchini Marekani kwa ajili ya Pazi Reunion itakayofanyika siku ya Jumamosi March 14, 2015 katika uwanja wa mpira wa kikapu wa Pilgrim uliopo katika kanisa la Lutheran lililopo Houston. Wengine katika picha ni wenyeji wake waliompokea,  kutoka kushoto ni Willy Crrusa, Aika na Flora Mochiwa maarufu kama Madikodiko. Mchezaji mwingine anayekuja kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

Pazi ReUnion USA. Mabo yazidi kupamba moto Houston Texas



Mdau Richard Kasesela ( Wapili kulia) alipokua akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa George  Bush Intercontinental uliopo Houston, Texas nchini Marekani kwa ajili ya Pazi Reunion itakayofanyika siku ya Jumamosi March 14, 2015 katika uwanja wa mpira wa kikapu wa Pilgrim uliopo katika kanisa la Lutheran lililopo Houston. Wengine katika picha ni wenyeji wake waliompokea,  kutoka kushoto ni Willy Crrusa, Aika na Flora Mochiwa maarufu kama Madikodiko. Mchezaji mwingine anayekuja kwenye...

 

10 years ago

Raia Mwema

Michuano ya Kagame imekosa ubunifu

PAZIA la michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati Kagame Cup, lilifungwa mwishoni mwa wi

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Michuzi

MICHUANO YA KAGAME KUANZA JUMAMOSI

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 121 TAREHE 13 JULAI 2015 Michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Kagame Cup) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya Jumamosi tarehe 18 Julai 2015 jijini Dar es salaam, kwa kushirikisha timu 13 kutoka nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka kwa Nchi za Afrika Mashariki na kati.
Mashindano ya CECAFA Kagame Cup ni mashindano makongwe barani Afrika ambayo yalianza mwaka 1967 kwa kushirikisha timu za ukanda wa Afrika...

 

10 years ago

Mtanzania

Michuano ya Kagame kuifunza Yanga

pluijmNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Der Pluijm, amesema atatumia michuano ya Kombe la Kagame kujifunza mbinu za kukisaidia kikosi chake katika michuano ya kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika na siyo usajili.
Michuano ya Kagame inatarajiwa kufanyika hapa jijini Dar es Salaam Julai mwaka huu, kwa kushirikisha mabingwa wa klabu ambao ni wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).
Akizungumza na MTANZANIA jana akiwa nchini Ghana kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi

Michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati jumamosi wiki hii inaanza kutimua vumbi mjini Dar es Salaam Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

MICHUANO YA KAGAME, APR YAICHAPA LLBA FC YA BURUNDI 2-1

Beki wa timu ya LLBA ya Burundi, Hakizimana Issa akijaribu kumzuia mchezaji wa timu ya APR ya Rwanda, Mubumbyi Barnabe katika mchezo wa Kome la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijioni Dar es Salaam. APR imeshinda 2-1. (Picha na Francis Dande)Beki wa LLBA FC ya Burundi, Manirakiza Aruna akioko hatari langoni mwake.  Heka heka katika lango la timuya LLBA FC. Simbomana Patrick wa APR ya Rwanda (kulia) akichuana na mchezaji wa LLBA FC ya Burundi, Ndaye Chancel. Uwimana Messo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani