Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pazi ReUnion USA. Mabo yazidi kupamba moto Houston Texas



Mdau Richard Kasesela ( Wapili kulia) alipokua akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa George  Bush Intercontinental uliopo Houston, Texas nchini Marekani kwa ajili ya Pazi Reunion itakayofanyika siku ya Jumamosi March 14, 2015 katika uwanja wa mpira wa kikapu wa Pilgrim uliopo katika kanisa la Lutheran lililopo Houston. Wengine katika picha ni wenyeji wake waliompokea,  kutoka kushoto ni Willy Crrusa, Aika na Flora Mochiwa maarufu kama Madikodiko. Mchezaji mwingine anayekuja kwenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PAZI REUNION MAMBO YAZIDI KUPAMBA MOTO HOUSTON, TEXAS


 Watatu toka kushoto ni Richard Kasesela alipokua akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa George  Bush Intercontinental uliopo Houston, Texas nchini Marekani kwa ajili ya Pazi Reunion itakayofanyika siku ya Jumamosi March 14, 2015 katika uwanja wa mpira wa kikapu wa Pilgrim uliopo katika kanisa la Lutheran lililopo Houston. Wengine katika picha ni wenyeji wake waliompokea,  kutoka kushoto ni Willy Crrusa, Aika na Flora Mochiwa maarufu kama Madikodiko. Mchezaji mwingine anayekuja kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

PAZI REUNION HOUSTON, TEXAS LEO KUWAKA MOTO WACHEZAJI WENGI NDANI YA NYUMBA

 Timu ya Pazi wanaume wakipata picha ya pamoja na mashabiki wao walipokua nyumbani kwa madikodiko ambaye pia ni mmoja wa waratimu wa tamasha hili la kumbukumbu ya timu hiyo iliyowika miaka mingi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Tamasha hili lililobeba jina la Pazi Reunion litafikia tamati leo Jumamosi March 14, 2015 kwa mechi kadhaa na kuakumbuka na kuaenzi viongozi na wachezaji wa timu hiyo waliotangulia mbele ya haki. Pazi Queens wakiwa katika picha ya pamoja leo...

 

10 years ago

Vijimambo

PAZI REUNION IKIENDELEA SASA HIVI HOUSTON, TEXAS TIMU YA VIJANA NA WAZEE

 Timu ya Wazee Timu ya Vijana Vitalis Gunda moja ya waratibu wa tamasha hili la Pazi Reunion akitoa shukurani zake kwa wenyeji Houston kwa jitihada zao na hatimae kufanikisha tukio hili la historia. Wachezaji wapand zote mbili wakicheza mchezo wa kikapu kwenye tamasha la Pazi Reunion linaloendelea sasa hizi ndani ya kiwanja cha mpira wa kikapu cha Pilgrim kilichopo 8601 Chimmey Rock Rd, Houston, TX 77096Mchezaji wa zamani wa Pazi Willy Crrusa (mwenye mpira) akijaribu kumhadaa Nelson Malai...

 

10 years ago

Vijimambo

PAZI BASKETBALL REUNION COMING IN HOUSTON


MARCH 14,2015 MORE INFORMATION COMING SOON!!!

 

10 years ago

Michuzi

PAZI BASKETBALL REUNION COMING SOON IN HOUSTON - WATCH THIS SPACE!


MARCH 14,2015 MORE INFORMATION COMING SOON!!!

 

10 years ago

Vijimambo

KASESELA AJIFUA TAYARI KWA PAZI REUNION HOUSTON JUMAMOSI HII

Aliyekua mchezaji wa Pazi enzi hizo na mwenyekiti wa chama cha mpira wa kikapu Tanzania Bwn Richard Kasesela akiwa gym akijiweka sawa na Pazi Reunion itakayofanyika Houston, Texas Jumamosi March 14, 2014. Pazi Reunion itawashikisha wachezaji wazamani waliowahi chezea Pazi na timu nyingine za mchezo huo miaka ya nyuma Tanzania. Wachezaji wengine wa Pazi wanaotarajiwa kushiriki tamasha hilo ni Atiki Matata na Sidi kutoka Uingereza.

 

10 years ago

Michuzi

Dar es salaam's PAZI BASKETBALL IN DIASPORA REUNION COMING TO HOUSTON THIS MARCH!

Kikapu kitapigiwa hapa

Wachezaji wakijifua


DAR ES SALAAM'S PAZI BASKETBALL  IN DIASPORA AND ITS FAMILY MEMBERS HAS ORGANIZED A BASKETBALL BONANZA THAT IS SCHEDULED TO TAKE PLACE ON MARCH 13th -15th, 2015 IN HOUSTON, TEXAS.
EVENTS:●      ON FRIDAY 13TH OF MARCH, 2015 NETWORKING●      LUNCH, DINNER, AND DRINKS WILL BE AVAILABLE AT MADIKODIKO LOCATIONBASKETBALL BONANZA LOCATION●      ON SATURDAY 14TH, FROM 10:00A.M TO 5:00 PM, AT 8601 CHIMNEY ROCK ROAD, HOUSTON TEXAS, US.MUSICBY DJ...

 

10 years ago

Vijimambo

PAZI REUNION YAWEKA HISTORIA HOUSTON, TIMU YA TANZANIA YAIFUNGA GABON 64 KWA 57

Timu ya mpira wa kikapu ya Tanzania iliyocheza mechi ya mwisho ya kuhitimisha tamasha la Pazi Reunion iliyofanyika siku ya Jumamosi March 14, 2015 na kuhudhuriwa na na Watanzania kutoka kila sehemu ya Marekani.Timu ya Gabon iliyokuja kuunga mkono Pazi Reunion na baadae kucheza mechi ya mpira wa kikapu na timu mchanganyiko ya Tanzania na kufungwa vikapu 64 kwa 57.Mmoja wa waratibu wa Pazi Reunion Vitalis Gunda (kati) akiwashukuru Atiki Matata (kushoto) na Richard Kasesela kwa kuja kushiriki...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE KUTOKA PAZI REUNION KATI YA HOUSTON NA DALLAS IKIENDELEA MUDA HUU

Mashabiki wakifuatilia mchezoMashabiki wakipata picha ya pamojaWachezaji wakichuana vikali katika Pazi Reunion inayoendelea muda huu.Mpambano ni mkali,Mpambano ni mkali. Mechi ya Pazi Reunion ikiendelea muda huu Houston, Texas.Atiki Matata kulia akitaitiwa vikali.Richard Kasesela akisubili Rebound.Mecji kali ikiendelea muda huu.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani