Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga kuongeza wa Stars Kagame

NYOTA sita wa klabu ya Yanga waliotua nchini jana wakiwa na kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, watajumuishwa katika safari ya kwenda Kigali, Rwanda kushiriki michuano ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SAMATA, ULIMWENGU KUONGEZA NGUVU STARS

Klabu ya TP Mazembe imewaruhusu wachezaji wake Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu kujiunga na timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo tayari imewasili Harare, Zimbabwe kwa ajili ya mechi ya michuano ya Afrika.
Taifa Stars itacheza na Zimbabwe (Mighty Warriors) katika mechi ya marudiano raundi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Morocco. Mechi hiyo itachezwa Jumapili (Juni 1 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa jijini Harare.
Samata na Ulimwengu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kagame yaipeleka Yanga Pemba

KLABU ya Yanga, imepanga kuipeleka timu visiwani Pemba kwa kambi ya kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagame itakayoanza Agosti 8, jijini Kigali, Rwanda. Yanga iliyopo kundi A, itaanza kampeni...

 

11 years ago

Mtanzania

CECAFA yaiondoa Yanga Kagame

Marcio Maximo

Kocha mpya wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Marcio Maximo

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limeiondoa timu ya Yanga kwenye michuano ya Kombe la Kagame, kutokana na kupeleka kikosi cha timu ya vijana, jambo ambalo ni kinyume na kanuni, hivyo imeiteua Azam FC kuchukua nafasi yake.

Katika michuano hiyo iliyoepangwa kuanza Jumamosi hadi Agosti 23, jijini Kigali, Rwanda na Yanga ilipangwa kufungua pazia kwa kucheza dhidi ya wenyeji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Okwi aitamani Yanga Kagame

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi, amesema hana tatizo na viongozi wa Yanga, hivyo amepanga kurejea na kujiunga na timu hiyo kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAJIWINDA NA KOMBE LA KAGAME

Kocha Hans van Pluijm (mwenye kofia) akiwapa maelekezo wachezaji wake. Kocha Msaidizi, Charles Boniface Mkwasa, akitoa maelekezo kwa wachezaji.
Mchezaji mpya wa Yanga, Lansana…

 

10 years ago

GPL

YANGA YAZIDI KUJIIMARISHA NA KAGAME

Mshambuliaji mpya wa Yanga kutoka timu ya Platinum ya Zimbabwe, Donald Ngoma, akionesha umahiri wake wa kuchezea mpira kwenye mazoezi hayo. KIKOSI cha Yanga leo kimeendelea kujiimarisha kwa ajili ya michuano ya Kombe la Kagame ambayo inatarajiwa kutimua vumbi jijini Dar es Salaam hivi karibuni.... HABARI NA PICHA ZAIDI===>http://bit.ly/1LW0xeT

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yaanika nyota Kagame

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, jana alitangaza kikosi kitakachokwenda mjini Kigali, Rwanda kucheza michuano ya Kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi Agosti 8. Akizungumza jijini Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga kuanza na Rayon Kagame

BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), jana lilitoa ratiba ya Kombe la Klabu Bingwa maarufu kama Kagame Cup, huku Yanga ikipangwa kufungua dimba na Rayon Sports...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaibania Simba Kagame

Dar es Salaam. Uongozi wa Yanga una mpango wa kutoshiriki mashindano ya Kombe la Kagame endapo Baraza la Vyama vya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) litakiuka utaratibu kwa kuiteua Simba kushiriki michuano hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani