Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndege warukao kutoka Hifadhi ya Taifa ya Kitulo hadi Ulaya

Hifadhi ya Taifa Kitulo ndiyo eneo pekee Tanzania lenye ndege aina ya tandawala machaka (Denhams Bustard) wenye uwezo wa kuruka kutoka bara moja hadi jingine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HIFADHI YA TAIFA YA KITULO MAKETE YAZIDI KUJIIMARISHA ZAIDI

 Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akiangalia maporomoko ya maji yaliyopo kwenye hifadhi ya Taifa ya Kitulo.=======Hifadhi ya Taifa ya Kitulo iliyopo wilayani Makete mkoani Njombe imejipanga vilivyo kuongeza vivutio vipya vya utalii hifadhini humo pamoja na kuboresha miundombinu ya barabara na njia za kupita watalii ili wafurahie vivutio vilivyopo hifadhini humo. Akizungumza mbele ya kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Makete iliyofanya ziara hifadhini humo, Kaimu mkuu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hifadhi ya Kitulo na vivutio vya maua

SEPTEMBA 16, 2005 serikali ililitangaza rasmi eneo la Kitulo kuwa Hifadhi ya Taifa. Hifadhi hii ni muhimu katika kuchangia ukuaji wa maendeleo ya kiuchumi kwa taifa letu. Kitulo ambayo awali...

 

10 years ago

Mtanzania

Hifadhi za Taifa kuanzisha shirika la ndege

kabwePatricia Kimelemeta na Grace Shitundu
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa miezi mitatu kwa Msajili wa Hazina kuratibu na kusimamia uanzishwaji wa shirika jipya la ndege litakaloendeshwa na mamlaka za hifadhi za taifa ili kutoa huduma kwa abiria na watalii.
Mamlaka hizo ni Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Akizungumza na wadau katika kikao cha majadiliano kilichofanyika jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe, alisema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hifadhi ya Kitulo kuongezwa vivutio vya farasi na baiskeli

HIVI sasa ni Hifadhi ya Taifa ya Kitulo, lakini awali eneo hilo lilijulikana kwa jina la Elton Plateau, lililovumbuliwa na Fredrick Elton mwaka 1870. Kutokana na  umuhimu wa eneo hilo...

 

9 years ago

Vijimambo

TAAARIFA KWA UMMA KUTOKA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA KUHUSU MOTO UNAOUNGUZA SEHEMU YA MLIMA MERU

post-feature-imageHIFADHI ZA TAIFA TANZANIAMoto mkubwa umezuka mwishoni mwa wiki hii na kuunguza sehemu ya Mlima Meru katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa chanzo cha moto huo ni vitendo haramu vya urinaji wa asali ndani ya msitu wa hifadhi hiyo.
Wananchi wapatao 200 kutoka vijiji jirani vya Olosinoni na Kisimiri Juu wakishirikiana na TANAPA wamefanikiwa kuudhibiti moto huo ili usiweze kuleta madhara makubwa kwa binadamu hususan wageni wanaotembelea hifadhi kwa lengo la kupanda...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hatimaye vijana wanaosafiri kwa Baiskeli Kutoka Mbeya kuelekea Dar wavuka salama Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

Hii ilikuwa tarehe 15.06.2015 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro aliwaaga rasmi vijana hao ili kuanza safari yao kutoka Mbeya kwenda Dar.

Safari yao ikiwa imeanza na hapa mmoja wa vijana hao wakiwa safarini na hapa akonesha umahili wa utaalam wa kuchezea Baiskeli maeneo ya Chimala.

Tarehe 17.06.2015 waliwasili Iringa na kulala hapo kisha asubuhi kuonana na uongozi wa Polisi Mkoani Iringa.

Vijana hawa watatu wakiwa Iringa sasa wanahimiza watu kujiandikisha katika...

 

10 years ago

Vijimambo

HATIMAYE VIJANA WANAOSAFIRI KWA BAISKERI KUTOKA MBEYA KUELEKEA DAR ES SALAAM WAVUKA SALAMA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI.

 Hii ilikuwa tarehe 15.06.2015 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro aliwaaga rasmi vijana hao ili kuanza safari yao kutoka Mbeya kwenda Dar. Safari yao ikiwa imeanza na hapa mmoja wa vijana hao wakiwa safarini na hapa akonesha umahili wa utaalam wa kuchezea Baiskeri Maeneo ya Chimala Tarehe 17.06.2015 wanawasili Iringa na kulala Hapo kisha asubuhi wanaonana na uongozi wa Polisi Mkoani Iringa
 vijana hawa watatu wakiwa Iringa sasa wanahimiza watu kujiandikisha katika Daftari la...

 

10 years ago

Vijimambo

HAKUNA SHULE, KAZI WALA NDEGE KURUKA NEW YORK ZAIDI YA NDEGE 6,000 CANCELS HADI JUMATANO

Hapa ni Times Square New York kimya kabisa wakati siyo kawaida yake tishio la barafu
inayoendelea kushuka kama imeagizwa vile yasababisha shule kufungwa hadi jumatano kazi na usafiri wa chini na anga stop kwa siku mbili.
New York ni nyumbani kwa vikwangua anga lakini kama unavyoona ni ukungu mzito na barafu ikinyesha. Dada akiwahi nyumbani kabla akujawa kubaya zaidi watu wameambiwa kukaa ndani na kuchoma mahindi nje ni shida
Hapa ni Penn station Kituo kikubwa cha train za kuelekea nje ya New...

 

10 years ago

Vijimambo

Dkt Mwele: Kutoka binti mwenye ndoto kuwa mtafiti hadi mwanasayansi wa kimataifa hadi mwania #Urais2015

Mapema wiki hii, mwanasanyansi wa kimataifa Mtanzania, mwanamama Dokta Mwelecele (Mwele) Malecela, alitangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kwa kuomba ridhaa ya kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi CCM. Dokta Mwele ambaye hadi wakati anatangaza uamuzi huo ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), ana historia ya kipekee ambayo nilibahatika kuifahamu kupitia chapisho moja lililopo katika blogu hii. Hata hivyo, chapisho hilo ambalo lilisomwa na maelfu ya watu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani