Updates: Hali ya Rais Kikwete yazidi kuhimarika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumatatu, Novemba 10, 2014, alianza kuwasiliana na mamia kwa mamia ya wananchi mbali mbali nchini kujibu ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) wa kumpa pole, kumtakia heri na nafuu ya haraka ambao amekuwa anatumiwa na wananchi tokea mwishoni mwa wiki.
Tangu alipofanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) Jumamosi iliyopita kwenye Hospitali ya Johns Hopkins, Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani, Rais Kikwete amepokea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO
10 years ago
Michuzi15 Jan
RAIS JAKAYA KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Vijimambo14 Jan
RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
PICHA NA IKULU
10 years ago
MichuziRais Kikwete atolewa nyuzi katika mshono,Afya yake yazidi kuimarika
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE ATOLEWA NYUZI KATIKA MSHONO, AFYA YAKE YAZIDI KUIMARIKA
10 years ago
Habarileo11 Nov
Hali ya Rais Kikwete yaimarika
HALI ya Rais Jakaya Kikwete ambaye mwishoni mwa wiki alifanyiwa operesheni ya tezi dume, inaendelea kuimarika na ameanza kufanya mazoezi ya kutembea.
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Jaji Mkuu amjulia hali Rais Kikwete Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kushoto ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Jaji Mkuu yuko Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa...
10 years ago
VijimamboWakuu wa Mkoa wamtembelea na kumjulia hali Rais Kikwete