Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakuu wa Mkoa wamtembelea na kumjulia hali Rais Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda ikulu leo kumjulia hali na kumpa pole kufuatia upasuaji alifanyiwa mwezi uliopita nchini Marekani.(picha na Freddy Maro)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mtumie ujumbe wa kumjulia hali na kumpa pole Rais Kikwete kwa kupitia namba yake hii

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa ajili ya Wananchi kumjulia hali na kumpa pole,ambapo atapokea ujumbe wako na kuujibu.

 

10 years ago

Vijimambo

UNAWEZA KUMTUMIA UJUMBE RAIS JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI KWENYE NAMBA YAKE HAPO CHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalum kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS kumjulia hali na kumpa pole, Mhe. Rais atapokea ujumbe wako na kuujibu.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH PINDA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR, SALMIN AMOUR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni. Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli za kikazi . Picha na Chris Mfinanga

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MANAIBU KATIBU WAKUU NA KATIBU TAWALA WA MKOA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha manaibu katibu wawili wa wizara na Katibu Tawala wa mkoa katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Manaibu katibu walioapishwa ni pamoja Ndugu Emmanuel Kalobelo anayekuwa Naibu Katibu mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia na ndugu Tixon Nzunda nayekuwa Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.Katika hafla hiyo Rais Kikwete amemwapisha Mhandisi Madeni kipande kuwa katibu Tawala wa mkoa wa Katavi...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMTEMBELEA KUMJULIA HALI MZEE MAGULA AMBAYE AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akimjulia hali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula katika chumba cha uangalizi maalum katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, leo. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, Gerson Msigwa imesema Mzee Mangula alipelekwa katika Hoapitali hiyo jana baada ya kuugua ghafla.
 Rais akizungumza na Mzee Mangula
Rais akifanya sala ya pamoja na Mzee Mangula

 

10 years ago

GPL

MAGWIJI WA BARCELONA WAMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU JIJINI DAR

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona wakati walimpomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Mchezaji nyota wa zamani wa Uholanzi na kocha wa Timu ya maveterani ya Barcelona Johann Cruyft akimkabidhi jezi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji… ...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi wa Msondo Ngoma band wamtembelea Rais Kikwete Ikulu

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kupiga picha ya pamoja na na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete  kufanya naye mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya tasnia ya muziki nchini. Bendi hiyo kongwe imetimiza miaka 50 mwezi huu. Picha na Freddy Maro

 

11 years ago

Michuzi

Wazee wa CCM Zanzibar Wamtembelea Rais Kikwete ikulu Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wazee wa CCM kutoka Zanzibar mara baada ya wazee hao kumtembelea na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. Picha na Freddy Maro wa Ikulu

 

10 years ago

Michuzi

Wachezaji veterani wa FC Barcelona wamtembelea Rais Kikwete ikulu. dar es salaam leo

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona wakati walimpomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Mchezaji nyota wa zamani wa Holland  na kocha wa Timu ya veterani ya Barcelona Johann Cruyft akimkabidhi jezi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leoRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona walipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Fred...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani