Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtumie ujumbe wa kumjulia hali na kumpa pole Rais Kikwete kwa kupitia namba yake hii

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa ajili ya Wananchi kumjulia hali na kumpa pole,ambapo atapokea ujumbe wako na kuujibu.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UNAWEZA KUMTUMIA UJUMBE RAIS JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI KWENYE NAMBA YAKE HAPO CHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalum kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS kumjulia hali na kumpa pole, Mhe. Rais atapokea ujumbe wako na kuujibu.

 

10 years ago

Vijimambo

Wakuu wa Mkoa wamtembelea na kumjulia hali Rais Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda ikulu leo kumjulia hali na kumpa pole kufuatia upasuaji alifanyiwa mwezi uliopita nchini Marekani.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Vijimambo

KADI ZA KUMPA POLE RAIS JAKAYA KIKWETE ZIPELEKWE UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC,

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umewaomba Watanzania na wale wote watakaopenda kuandika kadi za kumpa pole na kumtakia Mhe. Rais Profesa Jakaya Kikwete apone haraka, Ubalozi uneomba kadi zote zipelekwe Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulipo 2232 22nd St NW, Washington, DC 20037 na wao watamfikishia kadi yako Mhe. Rais kwa haraka iwezekanavyo na pia unaweza kumtumia ujumbe wa SMS Mhe, Rais Profesa jakaya Kikwete katika simu yake namba 646 309 2295 wa kumpa pole na...

 

9 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAJITOKEZA NYUMBANI KWA NY EBRA BROOKLYN. NEW YORK KUMPA POLE KWA KUFIWA NA DADA YAKE HUKO TANZANIA


Jumuiya ya Watanzania New York New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inasikitika kuungana na Ebra Nyagaly wa Vijimambo New York kutangaza msiba wa dada yake Mpenzi Asha Nyagaly kilichotokea Dar es Salaam, Tanzania. Dada amekutwa na mauti nyumbani baada ya kuzidiwa  ghafla akitokea hospitali alipokwenda kupata matibabuKwa sasa unaweza kumpigia simu Ebra NY na kumpa pole simu 347 475 4313
Msiba utakuwa nyumbani kwaEbra702 E 37th St,Brooklyn, NY
Mwenye Enzi Mungu amsameh Marehemu makosa yake na...

 

10 years ago

Michuzi

JK akutana na Jaji Mkuu wa Tanzania na ujumbe wake waliomtembelea kumjulia hali marekani


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu waTanzania Mhe Mohamed Chande Othman pamoja na ujumbe wake walipomtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.  

Jaji Mkuu na ujumbe wake wako Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa...

 

10 years ago

GPL

JK ATEMBELEWA NA JAJI MKUU WA TANZANIA NA UJUMBE WAKE WALIOFIKA KUMJULIA HALI BALTIMORE, MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Rais Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman.… ...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMJULIA HALI NA KUMPA POLE MEYA WA JIJI LA MBEYA MH ATHANAS KAPINGA BAADA YA KUPATA AJALI

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli akimjulia hali na kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.Athanas Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa mbio za maandalizi ya Kampeni hivi karibuni,Mh Kapunga amelazwa kwenye chumba maalum cha wagonjwa  mahututi (ICU) katika hospitali ya Rufaa mjini humo. Mmoja wa Wauguzi walioko kwenye chumba maalum cha wagonjwa  mahututi (ICU),akimpa maelezo...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH PINDA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR, SALMIN AMOUR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni. Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli za kikazi . Picha na Chris Mfinanga

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuhutubia wananchi kupitia mkutano utakaorushwa Live na TBC saa 11 jioni hii

Jakaya-Kikwete1

TUNAPENDA KUWAJULISHENI  KUWA LEO ALHAMISI TAREHE 4 SEPTEMBA, 2014 SAA KUMI JIONI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE ATAZUNGUMZA NA WANANCHI KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA, UTAKAOFANYIKA CHUO CHA MIPANGO – DODOMA.

MKUTANO HUO UTATANGAZWA MOJA KWA MOJA (LIVE) KUPITIA KITUO CHA TELEVISHENI CHA TAIFA TBC.

ASANTENI

IMETOLEWA NA;

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS,

IKULU – DAR ES SALAAM.

4 SEPTEMBA,2014

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani