Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete kuhutubia wananchi kupitia mkutano utakaorushwa Live na TBC saa 11 jioni hii

Jakaya-Kikwete1

TUNAPENDA KUWAJULISHENI  KUWA LEO ALHAMISI TAREHE 4 SEPTEMBA, 2014 SAA KUMI JIONI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE ATAZUNGUMZA NA WANANCHI KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA, UTAKAOFANYIKA CHUO CHA MIPANGO – DODOMA.

MKUTANO HUO UTATANGAZWA MOJA KWA MOJA (LIVE) KUPITIA KITUO CHA TELEVISHENI CHA TAIFA TBC.

ASANTENI

IMETOLEWA NA;

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS,

IKULU – DAR ES SALAAM.

4 SEPTEMBA,2014

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo jioni hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. CCM wanafanya mkutano mkubwa wa kumtambulisha Mgombea wao jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe...

 

10 years ago

Vijimambo

TBC KUONESHA LIVE RAIS KIKWETE ANAPOONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwetemchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma katika ukumbi waKilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangaliamazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja namtandao wa www.ikulu.go.tz
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA RAIS IKULU,
NOVEMBA 4, 2014

 

11 years ago

Michuzi

Rais kikwete katika Tamasha la Uzalendo jioni hii mjini Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii mbalimbali wakati wa Tamasha la Uzalendo na uzinduzi wa Video ya Wimbo Maalum wa Mika 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinazoendelea hivi sasa katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jioni hii. Picha na Freddy Maro Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya wasanii walioshiriki katika tamasha la Uzalendi na uzinduzi wa Video ya wimbo Maalum wa Miaka 50 ya Muungano wa...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: TBC KUONESHA LIVE RAIS KIKWETE ANAPOONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA UKUMBI WA KILIMANI


Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma  katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tz
IMETOLEWA NA KITENGO CHA 
MAWASILIANO YA RAIS IKULU, DAR ES SALAAM
NOVEMBA 4, 2014

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ....: RAIS KIKWETE ATANGAZA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI JIONI HII

Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akizungumza na vyombo vya habari jioni hii wakati akitangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri,Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametangaza mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri,ambalo Ameliapisha jioni hii Ikulu,Jijini Dar es Salaam.
Akitangaza uteuzi huo muda mchache kabla ya Mawaziri hao kuapishwa, Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue amesema uteuzi huo unahusu pia...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI BW. KAILIMA RAMADHANI KOMBEY JIONI HII IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015. Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani